Vitu viwili vya kuwekeza vizuri ili kufanikiwa kwenye biashara, ambavyo ni fedha na muda. Lakini pia kuna kitu cha tatu muhimu sana kinachohitajika ili uwekezaji wa vitu hivyo viwili uwe na tija. Kitu hicho ni UVUMILIVU. Uwekezaji ni sawa na kupanda, huwezi kupanda mbegu leo na kesho ukaanza kuvuna. Unahitaji muda wa kupalilia mbegu hizo …
Jinsi Ya Kudbibiti Hisia Zako
Moja ya changamoto kubwa zinazowapelekea wengi kushindwa kwenye maisha ni kuendeshwa na hisia badala ya wao kuendesha hisia zao. Wote tunajua kwamba pale tunaporuhusu hisia zitutawale, tunakuwa tumeondoa kabisa uwezo wetu wa kufikiri. Kwa sababu hisia kali na fikra haviwezi kukaa pamoja. Kupitia falsafa ya ustoa, tunajifunza kwamba hisia ni kitu ambacho tunakitengeneza sisi wenyewe …
Achana Naye Kama Anafanya Maisha Yako Kuwa Magumu
Rafiki yangu nikupendaye, Hakuna kazi ngumu hapa duniani kama kushughulika na watu.Kwa sababu kila mtu huwa ana tabia zake binafsi. Tumekulia makuzi tofauti, kiasi kwamba mpaka upate mtu wa kufanya naye kazi vile unavyotaka wewe ni kazi. Siyo kwamba wazuri hawapo, wazuri wapo. Na habari njema ni kwamba duniani tuko zaidi ya watu bilioni 7, …
Continue reading "Achana Naye Kama Anafanya Maisha Yako Kuwa Magumu"
Zijue Sababu Kuu Mbili Zinazowafanya Watu Kufanya Kitu
Rafiki yangu nikupendaye, Watu huwa wanapotaka kufanya kitu, huwa wanafanya bila shida. Watu wanapokuwa hawataki kufanya kitu, huwa hawafanyi au utaona tu sababu wanazokupa. Sababu ambazo watu huwa wanakupa pale wanapokuwa hawataki kufanya kitu ni kama vile nikiwa tayari nitakutafuta, siko vizuri kwa sasa. Watu huwa wana sababu nzuri sana pale wanapokuwa hawataki kufanya kitu. …
Continue reading "Zijue Sababu Kuu Mbili Zinazowafanya Watu Kufanya Kitu"
Faida Za Kuuliza Maswali
Rafiki yangu nikupendaye, Maisha ni mauzo. Kila dakika ya maisha yako, unauza. Hivyo, kwenye mauzo, yule anayeongea sana ndiyo anaishia kushindwa. Ukitaka kutawala mazungumzo na mtu yeyote yule, awe mteja au la tawala mazungumzo kwa njia ya kuuliza maswali. Maswali yana nguvu ya kukusaidia wewe kupata kile unachotaka.Na unapouliza maswali, uliza maswali ya kimkakati. Kuuliza …
Fanikiwa Kwenye Kile Unachotaka Kufanikiwa
Rafiki yangu nikupendaye, Fanikiwa kwenye kile unachotaka kufanikiwa. Inawezekana kabisa, ni wewe tu ndiyo unajizuia kupata kile unachotaka. Ukiamua unafanikiwa. Kama umeshajua kile unachotaka kwenye maisha yako, weka juhudi zaidi ili ukipate. Kinachowasumbua watu ni kwamba hawajajua wanataka nini, kama wewe umeshajua kile unachofanya, basi weka juhudi kukipata. Mwenye nia ya kutaka kitu, huwa hashindwi. …
Continue reading "Fanikiwa Kwenye Kile Unachotaka Kufanikiwa"
Kama Bado Hujajipata
Rafiki yangu nikupendaye, Kama bado hujajipata, sema ndiyo kwa kila kitu. Unasema ndiyo kwa sababu unahitaji fursa ya koneksheni mbalimbali ili ujipate. Unasema ndiyo kwa mambo ambayo ni sahihi na yanayokupa mchongo fulani. Kama hujajipata kanuni ni moja tu mtumikie kafiri, upate unachotaka. Lakini kama umeshajipata sema hapana kwa kila kitu. Sema hapa kwa mambo …
Unawajibika Kwa Nani?
Rafiki yangu nikupendaye, Kwenye hii dunia lazima kila mtu awajibike kwa mtu fulani. Hakuna mtu ambaye hawajibiki kwa mtu fulani. Kwa sababu asili yetu sisi binadamu ni uvivu, bila kuwajibishana hakuna maendeleo yatakayotokea. Kwenye maeneo mengi ya maisha yetu, tunao mifano ya watu wengi ambao wanawajibishana. Kama unajikuta mvivu au huna nidhamu juu ya kitu …
Njia Bora Ya Kufanikiwa Zama Hizi
Rafiki yangu nikupendaye, Kwa zama tunazoishi huwezi kujisifia kwamba umesoma shule nzuri, ulienda chuo kizuri au una elimu nzuri kiasi gani. Watu kwa sasa wanahitaji kitu kimoja tu ambacho ni Onyesha kazi yako, SHOW YOUR WORK. Onyesha watu nini umefanya na siyo maneno ya nini unaweza kufanya na siyo ELIMU gani unayo. Hivi karibuni, nimeona …
Jinsi Ya Kujua Njaa Ya Watu Na Namna Ya Kuitibu
Rafiki yangu nikupendaye, Iko namna nzuri ya kuweza kuwashawishi watu WAKUBALIANE na wewe. Ni njia rahisi ambayo hutumii hata nguvu. Watu wa zama hizi wana NJAA, na NJAA hiyo waliyonayo siyo ya chakula bali ni kuthaminiwa. Watu wana NJAA ya kusifiwa,Unapokutana na watu, wasifie kweli, Sifia Uwezo Wake. Kila mtu anapenda kuonekana ni muhimu. Watu …
Continue reading "Jinsi Ya Kujua Njaa Ya Watu Na Namna Ya Kuitibu"