Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa uko salama rafiki na huku ukiendelea na kupambana na maisha. Endelea kupambana rafiki ili uweze kupata kile unachokitaka hapa duniani. Hata kama unakumbana na changamoto kiasi gani usikate tamaa kwani maisha ni kama shule na changamoto ndio mitihiani …
Continue reading "Hivi Ndivyo Unavyoweza Kugusa Maisha Ya Watu Wengine Hapa Duniani"