Muhimu; Fahamu Kwanini Wajinga Ndiyo Waliwao?

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumanini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri katika maisha yako. Leo ni siku nyingine bora sana na ya  kipekee sana katika maisha yetu, tunaalikwa kumshukuru Mungu kwa zawadi ya siku hii ya leo hivyo basi, kama umepata zawadi hii ya leo usiipoteze …

Ifahamu Falsafa Mpya Ya Maisha Itakayokuletea Mafaniko Makubwa Na Yenye Furaha

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu hujambo na unaendelea vizuri, leo ni siku nyingine bora na ya kipekee sana kwetu hivyo tunaalikwa kumshukuru Mungu kwa zawadi hii ya uhai aliyetujalia mimi na wewe. Rafiki, tunaalikwa kutumia vizuri zawadi hii aliyetujalia Mungu siku hii ya leo, nenda …

Kitu Muhimu Cha Kuzingatia Katika Maisha Yako

Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Natumaini utakuwa umeinza siku  yako vema bila kusahau kuitumia vizuri kabla  siku haijaisha Mpendwa rafiki, napenda kutumia nafasi hii kukualika tena katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza wote kwa pamoja mambo mazuri …

Jinsi Ya Kuwapata Watu Makini Kwenye Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri katika maisha yako. Leo ni siku bora na ya  kipekee sana kwetu hivyo tunaalikwa kumshukuru Mungu kwa zawadi hii ya siku ya leo, zawadi hii ya siku ya leo ni ya kipekee sana kwetu hivyo …

Hii Ndiyo Kazi Ya Kuiheshimu Katika Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri, leo ni siku ya mwisho ya juma hili hivyo tunaalikwa sote kuweza kutafakari maisha yetu kama mwanafalsafa Socrates alivyosema maisha ambayo hayana tathimini ni maisha ambayo hayana maana kuishi. Kwahiyo ndugu msomaji unaalikwa leo kukaa …

Mambo Ishirini (20) Yaliyofichwa Kwenye Kitabu Cha The Naked Millionaire

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Leo ni siku nyingine tena bora na ya kipekee kwetu. Kwahiyo, tutumie zawadi hii tuliyopewa bure kuacha alama duniani. Mpendwa msomaji, napenda kutumia nafasi hii kukualika tena katika makala yetu ya leo ambapo leo nitakwenda …

Hii Ndiyo Mali Iliyokosa Thamani Hapa Duniani

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri, leo ni siku nyingine bora na ya kipekee sana kwetu hivyo basi, tunaalikwa kwenda kutumia vizuri siku yetu ya leo kwa manufaa yetu sisi na dunia nzima. bonyeza hapa kupata kitabu Mpendwa msomaji, napenda kutumia …

Haya Ndiyo Malezi Yenye Faida Kwa Mtoto Wako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu hujambo na unaendelea vizuri kupambana bila kukata tamaa kila siku, endelea kujaribu na kuthubutu kila siku na furahia ushindi unaoupata kila siku hata kama ni mdogo kwani ushindi huwa unakupa hamasa ya kupata ushindi tena. Mpendwa msomaji, napenda kutumia nafasi …

Kitu Cha Thamani Sana Unachotakiwa Kukiheshimu Kwenye Maisha Ya Watu

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri, leo ni siku nyingine bora na ya kipekee sana kwetu hivyo tunaalikwa kutumia vizuri zawadi hii ya siku hii ya leo. Tunamshukuru pia mwenyezi Mungu kwa kuweza kutustahilisha tena siku hii ya leo hivyo ni …

Haya Ndiyo Mapenzi Yaliyotamalaki Katika Zama Hizi

Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa unaendelea vizuri na nikupe pole rafiki kwa changamoto unazokumbana nazo kwenye maisha yako. Endelea kupambana bila kukata tamaa na zichukulie changamoto kama ni sehemu ya maisha yako kwani huwezi kuzikimbia labda ukiwa umekufa changamoto zitaagana na wewe lakini …

Design a site like this with WordPress.com
Get started