Rafiki, Katika dunia ya leo yenye kasi, wengi wanapenda kusikia kuhusu "njia ya mkato" kwenda kwenye mafanikio. Lakini ukweli usio na kificho ni kwamba—mafanikio ya kweli hayaji kwa ghafla. Mafanikio ni mchakato wa hatua kwa hatua, kazi kwa kazi, na ushindi kwa ushindi. Kama vile nyumba inavyojengwa kwa kuweka tofali moja juu ya jingine, ndivyo …
Continue reading "Siri ya Mafanikio: Jenga Tofali Moja Kila Siku"