Habari ya leo mpendwa Rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? ni imani yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Chagua kupata ushindi siku hii ya leo kwa kutumia muda wako vizuri kuhakikisha unapata kile unachokitaka. Ndugu mpendwa, karibu tena katika makala yetu ya leo ili tuweze kujifunza wote kwa pamoja kile nilichokuandalia siku hii …
Continue reading "Mambo Muhimu Ya Kujifunza Kutoka Katika kitabu Cha The Gifts of Imperfection"