Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi nzuri sana ya siku hii ya leo hivyo basi nenda kaitendee haki siku hii ya leo. Rafiki, karibu katika makala hii ya leo tuweze kujifunza wote kwa pamoja yale muhimu …
Continue reading "Jambo Unalopaswa Kujiandaa Kukabiliana Nalo"