Huwa watu wanalalamika sana kusema fedha ikiingia mikononi mwao huwa haikaki na wengine hudiriki kusema fedha ni shetani, wengine husema kuna mkono wa mtu au kuna chuma ulete ndiyo maana fedha haikai. Kila mtu huwa anasema lake juu ya kipato chake lakini tunaongea mengi bila kufahamu siri ya kipato ni nini. Siri ya kipato rafiki …
Continue reading "Siri Ya Kupanda Na Kushuka Kwa Kipato Chako"