Kuna ule wimbo ambao kila mmoja wetu anapenda kumwimbia mwenzake au yeye mwenyewe pale tu anapoona mambo yamekwenda ndivyo sivyo. Wimbo wenyewe siyo mwingine bali ni shukuru kwa kila jambo. Lakini watu wengi wamekuwa wanautumia ndivyo sivyo huu msemo kwa kushukuru tu mambo mazuri lakini mabaya hapana. Rafiki, binadamu tumekuwa ni watu waliokosa shukrani na …
Continue reading "Haya Ndiyo Makosa Makubwa Tunayofanya Kwenye Maisha Yetu"