Wakati unatoka nyumbani asubuhi basi utakutana na watu mbalimbali njiani hebu leo katika hao watu kumi waangalie usoni halafu utaniambia ni wangapi wanaonekana wana nyuso za tabasamu na furaha. Wengi utakao kutana nao utawaona wana nyuso za visirani, yaani mtu asubuhi amenuna na sijui sasa anamnunia nani. Utafikiri mtu kalazimishwa kuishi au kuamka asubuhi. Kama …
Continue reading "Kitu Cha Kufanya Pale Unapokutana Na Mtu Ambaye Hana Tabasamu"