Kuna uchungu ambao hauwezi kufananishwa na kitu kingine – kumpenda mtu kwa dhati, lakini akawa haonyeshi upendo wowote kwako. Ni maumivu ambayo mara nyingine huwezi kuyaeleza kwa maneno. Unajikuta unajiuliza, “Kwa nini nimpendaye haoni, hasikii, wala hakumbuki?” Lakini kumbuka jambo hili moja muhimu:👉 Upendo ni zawadi, si biashara . Biashara inasema: “Nikikupa hiki, nipe kile.”Lakini …
Continue reading "Kwa Sababu Unayempenda Haonyeshi Upendo, Haimaanishi Uache Kumpenda"