Usikubali Kitu Hiki Kikushinde

Mpendwa rafiki, Katika maisha yetu kuna watu wa aina mbili katika eneo la akili. Kuna watu ambao wao akili yako iko fixed yaani hawana muda wa kutafuta suluhisho yaani akipatwa na jambo njia kubwa ya kutatua tatizo kwake ni kukimbia tu tatizo. Kama akipata na changamoto kazini anaona bora tu kuacha kazi kuliko kuendelea na …

Jinsi Watu Wanavyojitenga Na Familia Zao

Mpendwa rafiki, Zama hizi muda umekuwa mdogo kuliko hata pesa, watu wamekuwa bize kila mmoja ana pambana na hali yake ili kuhakikisha anapata kile anachopata. Siyo kila mtu ambaye anasema yuko bize na yuko bize kweli, wengine wamekuwa wanautumia msemo huo wa niko bize ili kuficha uzembe wao. Tunakwepa majukumu yetu ya kifamilia kwa kusingizia …

Huyu Ndiye Mtu Mwenye Mamlaka Makubwa Kwenye Maisha Yako

Mpendwa rafiki, Watu huwa wanafikiri mtu mwenye mamlaka makubwa juu ya maisha yao huwa anatoka sehemu fulani. Kumbe mtu wen ye mamlaka hayo juu ya maisha ya mtu hatoki mbali ni mtu mwenyewe. Wewe ndiyo una mamlaka makubwa juu ya maisha yako kuliko mtu mwingine yoyote hapa duniani. Wewe ndiyo mkurugenzi wa maisha yako hivyo …

Mambo Manne Ya Kufanya Pale Unapopata Fedha

Mpendwa rafiki yangu, Heri ya mwezi Agosti. Hakuna kitu kinachowafanya watu wengi kuendelea kuwa masikini katika masuala ya fedha kama kukosa nidhamu ya fedha. Tokea mtu amezaliwa ameanza kujitambua na kushika hela mpaka leo anakuambia anaendelea kutafuta hela mpaka leo lakini hakuna hatua yoyote kubwa aliyopata miaka nena rudi maisha ni yale yale tu. Je …

Vitu Viwili Ambavyo Havifichiki Katika Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Maisha yetu ni kitabu, kila siku kuna watu tunawasoma na wao wanatusoma. Kumbe basi, kila mmoja wetu ni sehemu ya maisha ya mtu mwingine. Kila mmoja wetu ana mtegemea mwenzake kwa kitu fulani. Kujitegemea siyo kujitosheleza. Huwa watu wanatujua sisi ni wa kina nani hata kama hatujajitambulisha, jinsi tunavyofanya mambo yetu na …

Sifa Pekee Inayokutoa Katika Kundi La Wanamafanikio

Mpendwa rafiki, Kuna sifa nyingi ili uwe mwanamafanikio lakini kuna sifa moja inayokutoa njeya kundi kabisa. Mtu yeyote atakayeniuliza leo kama anataka kufanikiwa afanye nini basi mimi nitamjibu mara moja bila kusita abadilishe kwanza mtazamo wake. Hakuna kitu kigumu kama mitazamo ya watu waliyoaminishwa tangu kizazi hadi kizazi. Mitazamo hiyo inaendelea kuwa kama minyororo kwa …

Jinsi Ya Kufanikiwa Kwenye Kila Eneo La Maisha Yako

Mpendwa rafiki, Hakuna mtu ambaye hapendi kufanikiwa katika eneo fulani la maisha yake, natumaini unapenda ndiyo maana kila siku unajifunza. Kufanikiwa kwenye kila eneo la maisha inahitaji uweke kazi kama unavyoweka kazi katika maeneo mengine ya maisha yako la sivyo ni ngumu kufanikiwa. Kila kitu kinahitaji kazi na hakuna eneo ambalo ni rahisi kama unavyofikiria. …

Ndoto Ambazo Hazina Hamasa Duniani

Mpendwa rafiki, Kufanya kitu ambacho hakina hamasa ni sawa na kutaka kuhamisha maji ya baharini. Hivi unakula chakula ambacho hakina chumvi? Unapata ladha gani? unakunywa chai ambayo haina ladha unapata ladha gani? kitu chochote ambacho hakina ladha iwe ni kazi au chakula kinakuwa hakina ladha ya kuendelea kufanya hicho kitu. Rafiki, kuna ndoto ambazo hata …

Kitu Pekee Ambacho Dunia Haiwezi Kushindana Nacho (Makala Ya Tarehe 26/7/2018

Mpendwa rafiki, Unaweza kushindana na vitu vyote lakini kuna kitu ambacho wewe binafsi na hata dunia kwa ujumla haiwezi kushindana nacho. Kitu ambacho kimeweza kudumu tangu enzi na enzi, utajaribu kuficha kitu hiko lakini kamwe hakifichiki. Ushindani bora dhidi yako wewe mwenyewe ni kuwa bora, hutakiwi kushindana na mtu bali shindana na malengo yako uliyojiwekea. …

Sababu Kuu Moja Inayoonesha Huyapendi Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Kila mtu ana maisha yake, kila mtu amekuja kukamilisha ripoti yake hapa duniani. Natumaini unaendelea kukusanya ripoti za kwenda kuwasilisha mbinguni na za duniani. Kumbuka hakuna mtu anayependa ripoti za hivyo hata kama mtu ni wa hovyo huwa naye hapendi vya hovyo. Kuna mtu nilikutana akaniambia anatamani ndiyo angekuwa fulani, nilimuonea huruma …

Design a site like this with WordPress.com
Get started