Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu amezaliwa katika mahusiano hakuna mtu ambaye anaweza kujitokeza na kusema kuwa yeye hayuko katika mahusiano. Mahusiano yetu ya kwanza kabisa yanatoka kwa wazazi waliotuzaa, wazazi ndiyo watu kwanza katika maisha yetu kujitoa upendo wa usadaka bila kujibakiza ili sisi tuweze kuishi, tukifikiria fadhila walizotutendea wazazi hakuna hata mmoja wetu …
Continue reading "Haya Ndiyo Mahusiano Mzigo Katika Maisha Yako"