Faida Moja Kubwa Ya Kusoma Vitabu

Mpendwa rafiki yangu, Itakuwa ni litania ndefu nikianza kuandika faida za kusoma vitabu, huwa ninasema ukitaka kujua faida za kusoma vitabu anza kusoma vitabu ndiyo utaiona. Huenda mara yako ya mwisho kusoma kitabu ilikuwa ulivyomaliza chuo, kidato cha nne, sita au darasa la saba hivyo ukikiona kitabu kama vile unaona kituo cha polisi. Hapa sihamasishi …

Haya Ndiyo Maisha Ambayo Hayahitaji Usiri

Mpendwa rafiki yangu, Timu ya mpira wa miguu inapoingia uwanjani kwa ajili ya kucheza huwa inakuwa na wachezaji kumi na moja hata kama mchezaji ni hodari kiasi gani lakini hawezi kufanikiwa kufunga goli bila juhudi za wachezaji wenzake. Hivyo basi, mafanikio yoyote yanadai umoja na ushirikiano bila umoja na ushirikiano katika timu hakuna mafanikio. Vivyo …

Huyu Ndiye Mteja Wako Wa Kwanza Kama Wewe Ni Mwajiriwa

Mpendwa rafiki, Kila mmoja wetu ni muuzaji, kila mtu kuna kitu anauza iwe umejiajiri, umeajiriwa au huna ajira kuna kitu unachouza. Tuko duniani kwa ajili ya kuuza ujuzi na maarifa tuliyonayo kwa ajili ya wengine, ili dunia ikue na tunatakiwa mimi na wewe tukue kwanza, tukibadilika sisi basi mabadiliko tunayotaka kuyaona tutayaona kweli katika maeneo …

Sababu Moja Kwanini Fedha Zinakukimbia Kila Siku

Mpendwa rafiki yangu, Katika masuala ya fedha inatakiwa kuelezana ukweli hakuna kuweka laini kwa sababu laini inawafanya watu wazidi kupata shida. kila siku imekuwa ni wimbo watu kulalamika kwamba uchumi au mambo ya fedha yamekuwa magumu lakini kitu ambacho kinanishangaza ni watu ambao wanalalamika kutochukua hatua ya kuongeza kipato. Mwanasayansi albert Einstein aliwahi kusema ujinga …

Usikubali Kuibiwa Kitu Hiki Ndani Ya Juma Hili

Mpendwa rafiki, Tumezoea kuwaona mabihili wa fedha katika jamii yetu, huenda hata wewe ulishawahi kuitwa huyu jamaa ni bahili kweli yaani wewe siyo mtu rahisi kutoa hela nje una mgumu sana ndiyo watu wanavyomaanisha. Lakini ninatumaini hujawahi kumsikikia bahili mmoja ambaye ni adimu kupatika katika jamii yetu, niliwahi kuandika babhili adimu kupatikana katika jamii yetu, …

Sababu Moja Kwanini Watoto Wengi Wa Siku Hizi Siyo Wabunifu

Mpendwa rafiki yangu, Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu, hatutakiwi kuwabagua tunaalikwa kuwapokea na kuwalea kadiri Mungu anavyotujalia. Mzazi amepewa majukumu mengi kupitia mtoto na jukumu la kwanza mzazi ndiye kuhani mkuu kwa mtoto wake, jukumu la malezi ni la wazazi wote wawili ndiyo mpango mzuri, mtoto anayepata malezi ya baba na mama ni tofauti …

Mambo Siyo Rahisi Kama Unavyofikiria Hivi

Mpendwa rafiki yangu, Katika maisha yetu ya kila siku hakuna kitu ambacho ni kirahisi, kila kitu katika maisha yetu kinahitaji kazi. Maisha yoyote uliyojichaguliwa kuishi siyo marahisi yanahitaji kazi kweli kweli. Rafiki, siyo rahisi kama vile unavyobadilisha chaneli katika TV, umekaa kwenye kochi umeshika rimonti yako basi unabadilisha chaneli unayotaka. Maisha hayako hivyo kabisa unatakiwa …

Njia Inayotumiwa Na Watu Wengi Kujikatisha Tamaa

Mpendwa rafiki yangu, Kama ukiwakimbiza sungura wawili kwa wakati mmoja basi hutoweza kumkamata hata mmoja. Katika maisha unatakiwa kila kitu ukifanye kwa muda wake, kila jambo lina muda wake na hutakiwi kulazimisha na ukilazimisha ni kama vile kukimbiza sungura wawili kwa wakati mmoja. Huwa tunatabia ya kutaka vitu vingi kwa wakati mmoja sasa hii tabia …

Kabla Hujasikiliza Watu Fanya Kitu Hiki Kwanza

Mpendwa rafiki, Mara nyingi huwa tunapenda kuwasikiliza watu kuliko hata kujisikiliza sisi wenyewe. Wengi wetu tunaishi katika ndoto ambazo siyo zetu kabisa, huenda hata hapo ulipo unaishi ndoto ambayo siyo yako kabisa, huenda hufurahii maisha yako, kazi unayoifanya na unaona bado kuna kitu hakipo sawa katika maisha yako. Dunia ya sasa watu wamevurugwa, kila mtu …

Hawa Ndiyo Watu Unaotakiwa Kuchangamana Nao

Mpendwa rafiki, Kuna sheria moja inaitwa law of attraction yaani sheria ya uvutano hivyo basi katika maisha yetu yule mtu au watu unaokaa nao muda mrefu unajikuta unakuwa kama wao, maisha yetu ni kama sumaku unavuta wale watu wanaoendana na wewe, kama wewe unapenda mafanikio utawavuta watu wanaofanana na wewe. Ulivyokuwa mdogo wazazi wako walikuwa …

Design a site like this with WordPress.com
Get started