Mpendwa rafiki yangu, Kama bado uko hai basi matatizo ni rafiki yako na utaachana naye pale siku mwili na roho yako vitakapotengana. Na njia ya rahisi ya kukimbia matatizo ya duniani ni kutokuwepo duniani lakini kama unataka kuishi basi chukulia matatizo yapo na yataendelea kuwepo. Hivi dunia ingekuwaje kama ungekuwa unapata kile unachokitaka bila changamoto …
Continue reading "Haya Ndiyo Matatizo Yanayowasumbua Watu Wengi"