Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu anapenda furaha na ndiyo maana watu wengi wanaitafuta furaha kwa nguvu ila wengi furaha zao zimebebwa na vitu na siyo kutoka ndani. Sijui kama kuna mtu anaamka kitandani kila siku na kwenda kutafuta huzuni katika maisha yake. Akili za watu zinatafuta raha na furaha na wala siyo huzuni. Asili …
Continue reading "Hizi Ndiyo Nyimbo Za Kusikiliza Pale Unapokuwa Na Huzuni"