Mpendwa rafiki yangu, Ni rahisi sana kuwandanganya watu wa nje lakini ni ngumu sana kujidanganya wewe mwenyewe. Unaweza kuwadanganya watu wengi lakini huwezi kujidanganya mwenyewe. tumekuwa na maisha ya kuigiza ya kuonekana sisi ni watu wa namna gani mbele za watu lakini ukweli wa maisha yetu tunaujua sisi wenyewe hata kama tunadanganya. Leo hii nimejipa …
Continue reading "Unapaswa Kwanza Kusadiki Kitu Hiki Ili Uweze Kufanikiwa"