Ukichagua kufanya makubwa kwenye maisha, lazima utakutana na upinzani.Ukichagua kujifunza zaidi, kujaribu vitu vipya na kuishi nje ya mipaka ya kawaida, utazalisha matokeo ya tofauti — matokeo ambayo wengi hawajazoea kuyaona. Na kila unapozalisha kitu kisicho cha kawaida, utavuruga mfumo wa wale wanaopenda mazoea.Hapo ndipo kundi la wakatishaji tamaa linapoibuka — watu ambao kazi yao …
Continue reading "NJIA TISA ZA KUWASHINDA WAKATISHAJI TAMAA (SEHEMU YA 1–2)"