Wengi hupigana sana kufikia mafanikio — wanajituma, wanavumilia, wanateseka, wanajinyima, na hatimaye wanafika kileleni. Lakini cha kusikitisha, baada ya muda mfupi mafanikio hayo huanza kuyeyuka taratibu kama barafu juani.Wamewahi kuwa juu sana, wanazungumziwa kila mahali, wanaheshimiwa, wanafanikiwa… lakini miaka michache baadaye, majina yao yanapotea. Tumeona wasanii waliokuwa nyota wakubwa wakipotea ghafla.Tumeona wafanyabiashara waliokuwa na mali …
Continue reading "Epuka Anguko Baada ya Mafanikio – Hatari Kubwa Zaidi Huwa Kileleni"