Kwenye safari ya maisha, hakuna jambo kubwa linalokuja kirahisi. Dunia haijawahi kuwa mahali penye mikono laini ya kukukaribisha na kukupa unachotaka bila jasho, uthubutu na mapambano ya ndani.Ndiyo maana, ili kufanikiwa—siyo kawaida, bali kufanikiwa kweli—unapaswa kuwa mtu mwenye msimamo mkali, mtu ambaye anang’ang’ania anachotaka hadi dunia ilazimike kukubaliana naye. Dunia haikupi kitu bila kukupima Ukweli …
Continue reading "NGUVU YA KUNG’ANG’ANIA — MOTO USIOZIMIKA WA WATU WANAOFIKA MBALI"