Kwa nini mawasiliano yamekuwa shida kwa watu wengi leo? Kwa sababu msingi wa mawasiliano umevunjika. Watu wanaongea, lakini hawasikilizani. Watu wanatuma ujumbe, lakini hawajishughulishi kujibu. Watu wanapiga simu, lakini hawajali kurudisha. Mawasiliano yamekuwa mfululizo wa vurugu na sintofahamu. Ndiyo maana tunahitaji kurudi kwenye misingi ya mawasiliano bora—kile ambacho kinaboresha mahusiano, heshima, biashara, kazi na maisha …
Continue reading "MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KATIKA MAWASILIANO (COMMUNICATION SKILLS)"