Kila siku umekuwa unasikiliza, unaangalia habari mbalimbali lakini leo nakusihi uende ukafuatilie habari unayokwenda kuijua leo na kuacha na habari nyingine. Hivi tokea uanze kufuatilia habari imekusaidia kuingiza kipato? Kama unaingiza kipato kupitia habari endelea maana ni kazi yako lakini kama huna unachopata zaidi ya kupoteza wakati, nguvu na fedha zako ni bora uzitumie leo …
Nguvu Za Ajabu Zinapatikana Kwa Njia Hii
Binadamu tunayo nguvu ya kufanya vitu vya kushangaza sana lakini hii nguvu tuliyonayo ndani yetu huwa hata hatuitumii vile ipasavyo. Ili uweze kutumia nguvu za ajabu zilipo ndani yako unapaswa kuwa na kitu hiki kimoja ambacho ukiwa nacho utafanya yasiyowezekana hata kama watu wanaona hayawezekani. Tunaweza kuwa na nguvu ya ajabu ndani yetu kama tukiwa …
Jinsi Ya Kutokichosha Kichwa Chako Kufanya Kazi
Vichwa vyetu vina mambo mengi kwani karibu kila kitu huwa tuanza na kufikiri kwanza kwa kichwa.Hebu fikiria tokea umezaliwa mpaka leo huoni kama kichwa chako kinabeba mambo mengi sana?Vipi kama leo ukiamua kukisaida baadhi ya mambo? Nafikiri kitapumua kama siyo kupumzika. Kisaidie kichwa chako kutokuchoka kufanya kazi maana kichwa chako kina mambo mengi hivyo kisaidie. …
Continue reading "Jinsi Ya Kutokichosha Kichwa Chako Kufanya Kazi"
Huyu Ndiye Mtu Ambaye Hawezi Kufukuzwa Kazi
Kwa kutumia akili ya kawaida wewe unafikiri mtu ambaye hawezi kufukuzwa kazi ni mtu wa namna gani? Mtu ambaye hawezi kufukuzwa kazi ni yule mtu ambaye ana thamani. Kama mtu anazalisha na kukupa faida huwezi kumfukuza kazi lakini kama hana thamani anayozalisha lazima utamuondoa. Unalipwa kadiri ya thamani unayoitoa sokoni. Kwa mfano, mchezaji mpira mwenye …
Continue reading "Huyu Ndiye Mtu Ambaye Hawezi Kufukuzwa Kazi"
Pigania Kila Siku Kupata Utajiri Huu
Uko utajiri ambao ni zaidi hata ya fedha, mali tunazozitafuta kila siku. Siyo kwamba fedha au utajiri siyo muhimu lahasha utajiri na fedha ni muhimu sana katika maisha yetu. Ukiwa na fedha au utajiri utaweza kulipa bili mbalimbali lakini umasikini haulipi bili hata siku moja zaidi ya kukuongezea msongo wa mawazo. Usiache kuweka juhudi kuhakikisha …
Kama Ulikuwa Na Hii Nadharia Ifute
Jamii tunazoishi zimekuwa na mitazamo hasi sana kiasi kwamba kama utakua uko kwenye mkumbo huu wa kuwa katika kundi la watu wenye mtazamo hasi ni rahisi kuumizwa. Kuna nadharia moja ya wazazi ambayo wanayo, ambayo inawalemaza sana wazazi na kushindwa kujituma sasa. Nadharia hiyo ni ile ambayo wazazi wanazaa watoto huku wakiwa na matumaini makubwa …
Kabla Hujanunua Kitu Kwa Mtu Jiulize Swali Hili
Ni kawaida ya watu wengi kupenda kununua vitu rahisi tena sehemu ambazo siyo sahihi. Watu wamezoea kuuziana vitu kienyeji na kununua vitu kwa hisia bila kufikiri kwanza. Leo naomba uwe makini sana kwenye hivi vitu vya kununua mikononi mwa watu.Kabla hujanunua kitu kwa mtu, yaani sehemu ambayo siyo rasmi, labda unanua simu kwa mtu jiulize …
Continue reading "Kabla Hujanunua Kitu Kwa Mtu Jiulize Swali Hili"
Siku Zote Huwezi Kupata Ukinzani Kwenye Vitu Kama Hivi
Ulishawahi kuona mtu anapata ukinzani kwenye kuangalia TV, kutembelea mitandao ya kijamii, ulevi, na mengine mengi yanayofanana na hayo? Mara nyingi tunashindwa kufanya vitu vigumu kwa sababu vitu vigumu huwa vinadai kazi. Tunapata ukinzani kwenye kazi tu kwa sababu kazi siyo rahisi huwa inahitaji kazi kufanyika. Ndiyo maana ni rahisi kuahirisha kazi na kupata ukinzani …
Continue reading "Siku Zote Huwezi Kupata Ukinzani Kwenye Vitu Kama Hivi"
Tumia Mbinu Hii Pale Unaposhindwa Mapambano
Hakuna mtu ambaye hashindwi katika maisha yake. Kila mtu anaanguka na hakuna ubaya katika kuanguka bali kuendelea kubaki chini ndiyo kuna ubaya. Changamoto siyo mwisho wa maisha, tunapitia mapito kwa muda baada ya hapo maisha yanaendelea. Kwa mfano, tunapatwa na msiba, tunapitia kipindi cha majonzi na baada ya muda maisha yanarudi kawaida. Moja ya nukuu …
Continue reading "Tumia Mbinu Hii Pale Unaposhindwa Mapambano"
Usianike Mambo Yako Kwa Kila Mtu
Binadamu sisi tunatabia moja, ambayo ni kupenda kujua kila kitu kuhusu mtu na hii ndiyo maana tabia ya umbea huwa haikomi. Ukiruhusu watu wajue kila kitu kuhusu wewe utashangaa unaibua wivu na watu ambao mlikuwa mnaheshimiana tu. Wivu huwa unatabia ya kuzaa kila aina ya chuki unayoijua wewe. Watu wakishajua sana mambo yako kuna haya, …