Kila maisha utakayoamua kuishi tayari yana maamumivu yake. Hakuna maisha ambayo hayana maumivu ila ni kuchagua tu aina ya maumivu ambayo uko tayari kuyaishi. Ila nakushauri usivumilie kitu chochote ambacho hukipendi kwenye maisha yako. Hata kama kila mtu anavumilia na anachukulia kawaida. Kama kitu hukipendi au hukubaliani nacho au siyo viwango vyako usikubali kuwa navyo. …
Continue reading "Usivumilie Kitu Chochote Ambacho Hukipendi"