Jinsi Ya Kuwa Mtu Wa Tofauti Katika Karne Ya 21

Iko njia rahisi sana ya kuwa mtu wa tofauti katika jamii unayoishi.Dunia ya leo, tumezoea kuwaona watu wakiishi maisha ya kawaida yaani maisha ya kimazoea ambayo hayawapi makubwa wala hata hayawasaidii kulipa bili. Kama unaishi maisha ya kimazoea ambayo hayakusaidii hata kulipa bili hayo siyo maisha, wengi wanaishi maisha ya kimazoea kwa sababu hawataki kufanyia …

Hawa Ndiyo Watu Adimu Katika Jamii Yetu

Siku hizi watu wanaoanzisha vitu ni wengi, watu wanaongea ni wengi na wengi huwa wanajidanganya kupitia mitandao ya kijamii kuwa ni wafanyaji wazuri lakini kuna kitu huwa wanakikosa. Katika jamii yetu, tunawakosa watu wanaoanzisha kitu na kukimaliza. Kiufupi katika jamii yetu tumewakosa watu adimu ambao ni wamalizaji wa kazi wanazoanza kuzifanya. Siku hizi watu wanakuwa …

Huyu Ndiye Mtu Unayemsahau Pale Unapopata Fedha

Iko kanuni kuu moja ya kupata uhuru wa kifedha na utajiri. Kanuni ambayo wale waliotajirika imewasaidia na hata wewe mwenyewe ukiitumia itakusaidia pia. Yuko mtu ambaye huwa unamsahau sana pale unapopata fedha ambaye ni wewe mwenyewe. Ukipata fedha unawalipa watu wote kasoro wewe mwenyewe. Ukipata fedha tu, baada ya muda mfupi unaanza kumlipa mtu anayekuuzia …

Tafadhali; Ukiwa Na Njaa Usifanye Mambo Haya

Natumaini unaelewa ni namna gani ukiwa na njaa jinsi miili yetu inavyokuwa. Unapokuwa na njaa akili yako huwa hakuna inachowaza zaidi ya chakula. Tukiwa na njaa huwa hatubaki salama hata kidogo. Ndiyo maana leo nakusihi sana rafiki yangu ukiwa na njaa usifanyemaamuzi yoyote yale mpaka pale utakapokuwa umeshiba. Tukifanya maamuzi tukiwa na njaa lazima maamuzi …

Kuwa Makini Na Watu Hawa Wawili

Hakuna kipindi ambacho unapaswa kuwa makini kama hiki, wewe ni mtu ambaye unawindwa zaidi hata ya swala porini. Wanaokuwinda unaishi nao na muda wowote usipokuwa makini wanakuumiza vibaya. Kwenye kila ufanyalo uwe makini na upunguze matatizo yasiyokuwa na ulazima. Leo ninakwenda kukushirikisha watu wawili unaopaswa kuwa nao makini kwenye maisha yako. Moja, kuwa makini na …

Hiki Ndicho Kinachopelekea Kuiona Kazi Yako Ni Mbaya Au Nzuri

Katika msingi wa falsafa ya ustoa, falsafa ya kuishi kanuni za asili na kudhibiti hasira inatualika kuwa asili huwa haina kitu kibaya wala kizuri. Kama asili haina kitu kibaya wala kizuri sana nini kinachopelekea watu kuona vitu vibaya na vingine vizuri? Jawabu;Kitu kinachopelekea watu kuona vitu vibaya na vizuri ni mitazamo waliyonayo watu juu ya …

Tumia Mbinu Hii Kama Hutaki Kupata Kile Usichotaka

Kama unataka usipate kile usichotaka usikifikirie kitu hiko badala yake fikiria kile unachotaka. Siku zote ukifikiria kile usichotaka ndiyo unakipata. Kwa mfano, kama una madeni usifikirie madeni badala yake fikiria namna ya kupata fedha zaidi. Akili ya kutekeleza yaani subconscious mind huwa haina utambuzi hivyo chochote kile kinachokuja akilini kinatekeleza bila kujua ni sahihi au …

Hii Ndiyo Hatua Ya Kuchukua Pale Unapoona Kitu Hakikupi Faida

Siyo kila kitu unaweza kukomaa nacho mpaka mwisho na kikakupa faida uliyokuwa unataka. Hakuna mtu ambaye anaweza kufanya kazi isiyokuwa inamlipa kwa sababu kila mtu anahitaji fedha ili aendeshe maisha yake. Maneno hayajawahi kulipa bili hata siku moja bali fedha pekee. Hatua muhimu unayopaswa kuichukua pale unapoona kitu hakikupi faida ni kuacha. Usiogope kuacha kitu …

Huu Ndiyo Utajiri Pekee Unaodumu

Huwa tunajidanganya sana kuwa pale tunapomiliki vitu vingi ndiyo tunajiona kuwa sisi ndiyo matajiri. Kumbe siyo, utajiri hauko kwenye kuwa na vingi bali utajiri uko sehemu moja pekee ambayo ni utajiri wa kutoa. Utajiri unaotoa ndiyo utajiri unaodumu. Unapomsaidia mtu wewe unaweza kuona kama ni kawaida lakini wale wanaopokea msaada wako ndiyo watu wanaokumbuka sana …

Jinsi Ya Kuepuka Kuwa Na Maadui Wengi

Wape watu nafasi ya kujielezea wao zaidi kuliko wewe. Usiwe mtu wa kupenda kujisifia sana pale unapokuwa na watu huwa wanakereka na tabia hii. Usipende kuibua wivu usiokuwa wa maana kwa kitendo cha kujisifia mafanikio yako mbele za watu.Mafanikio binafsi usiyaanike kwa watu maana utaibua wivu na matokeo yake mahusiano yanavunjika. Unapokuwa mtu wa kuongea …

Design a site like this with WordPress.com
Get started