Hiki Ndiyo Kitu Kinachohitajika Kwenye Kila Eneo La Maisha Yako

Ulipoona kichwa cha makala moja kwa moja ulijua kuwa ni fedha. Kitu ambacho kinahitajika kwenye kila eneo la maisha yako. Japokuwa fedha ni muhimu lakini leo sitoongelea fedha kabisa. Kama unataka upate kitu chochote kile kwenye maisha yako lazima utahitaji muda wa subira. Ukitaka kufanikiwa kiroho utahitaji muda wa uvumilivu. Ukitaka kufanikiwa kiakili, utahitaji kukua …

Jinsi Ya Kuwafanya Watu Kufanya Kitu Kwa Gharama Ndogo

Ulishawahi kujiuliza ni kwanini utakuta watu wanajitoa sana kwenye kazi za kusaidia hata kazi ya kulipwa? Hii ni kwa sababu watu wanajitoa sana kwa sababu kile wanachofanya kina maana kubwa kwao na kwa wengine pia. Kama ulikuwa hujui, leo jua hivi, watu wanapenda kufanya kitu chenye maana kwao na kwa wengine hata kama hawapati malipo …

Usisahau Kufanya Jambo Hili Muhimu Kwako Kama Unapambana Kuongeza Kipato

Fedha ikiwepo huwa haikosi matumizi. Unaweza kupambana kweli kuongeza kipato lakini kama usipofanya jambo muhimu ninalotaka kukueleza leo utakua unafanya kazi bure. Maisha yanapanda kila siku hivyo na wewe unatakiwa kupanda kwa kuongeza kipato. Usiishie kulalamika maisha yamepanda tu, na wewe jiongeze kwa kuongeza kipato cha ziada. Kama umeajiriwa kuwa na kitu cha ziada kinachokuingizia …

Huwezi Kumaliza Siku Bila Kufanya Kitu Hiki

Kila siku unapoamka jiandae kisaikolojia kuwa utaenda kukutana na watu ambao wataenda kinyume na wewe. Wako ambao watakukera, watakuudhi, yako mambo mengi ambayo yanahusiana na hayo. Ndiyo maana nasema, kwa binadamu yoyote yule, ni vigumu sana kumaliza siku hujakwazwa na yeyote yule. Kila siku lazima utakwazwa je utakuwa ni mtu wa kukasirika kila siku na …

Hivi Ndivyo Vitu Rahisi Kukumbuka Kwenye Maisha Yako

Kitu chochote kinachokuja kirahisi kwenye maisha yako. Huwa kinaondoka kiurahisi pia. Pata picha kwenye maisha yako, ni vingapi umevipata kirahisi? Hata katika kujifunza kile unachojifunza kwa njia ngumu huwa ni rahisi kukikumbuka kuliko kile unachojifunza kwa njia rahisi. Vitu rahisi kukumbuka kwenye maisha yako ni vile ambavyo umejifunza kwa ugumu. Hata katika ukusanyaji wa fedha, …

Huyu Ndiyo Mtumishi “Faya” Anayeweza Kufanya Makubwa Kwenye Maisha Yako

Watu ni wagumu kuamini lakini ukiwa na ushuhuda unakuwa unamaliza kazi mapema sana.Ushuhuda unawaaminisha watu kuwa kitu fulani ni kweli na maamuzi yao yatakuwa sahihi endapo wakichukua hatua. Kwenye mambo ya kiimani watu wengi huwa wanatekwa na miujiza inayotendeka. Watu wakisikia mtumishi, nabii fulani ni "faya" na wanapata ushuhuda wengi watahamasika na kwenda huko bila …

Usijisumbue Na Watu Hawa Kwenye Maisha Yako

Usijisumbue na watu ambao hawajui kile wanachotaka kwenye maisha yao. Hata kama wakikijua hawajitoi kukipata kile wanachotaka. Kusudi kubwa katika maisha yako ni kujua kile unachotaka. Ukishajua kile unachotaka utakua unajua wapi unaenda. Ukishajua kile unachotaka, utakua unakimbia mbio zako. Unashindwa kukimbia mbio zako kwa sababu hujui maana ya mafanikio kwako. Ukishajua maana ya mafanikio …

Ni Uamuzi Wako Kuwa Hivi

Maisha ni kuchagua. Ila wengi wanashindwa kupanga ndiyo maana wanashindwa. Mwandishi mmoja wa kitanzania Fr Faustin Mwikila Kamugisha (PhD) ana kitabu chake kinachoitwa Hatupangi Kushindwa Tunashindwa Kupanga nakubaliana naye anaposema hatupangi kushindwa ila tunashindwa kupanga. Ni nani kati yetu huwa anapanga kushindwa? Hakuna , wakati mwingine tunashindwa kwenye maisha kwa sababu tunashindwa kupanga. Leo uko …

Huyu Ndiyo Mtu Ambaye Hapatikani Kwa Bahati

Hakuna kazi ngumu kama kazi ya kufikiri. Watu siku hizi hawapendi kazi ambayo inawasumbua akili. Kiasili binadamu wanapenda kufanya kitu ambacho huwa hakiwasumbui akili, ndiyo maana unaona mambo marahisi huwa yanakimbiliwa na wengi. Huwa watu wanatamani maisha ya watu ambao wameshafika viwango vya juu katika eneo fulani. Lakini kitu ambacho huwa hawapendi kujifunza ni ule …

Naomba Wacheke Watu Hawa

Leo asubuhi nilipokuwa nasoma kazi za falsafa ya ustoa kwa mstoa Epictetus nikakutana na nukuu yake moja ambayo ilinitafakarisha nikaona ni vema na wewe nikushirikishe kidogo. Napenda kuishi misingi ya falsafa ya ustoa kwa sababu inasimamia ukweli na ni misingi inayoendana na asili. Ukishajua sheria ya asili huwezi kusumbuana na watu. Huwezi kujiangaisha na mambo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started