Kila mmoja wetu anapenda kuwa na uamsho wa kiroho ndani yake.Kuwa na uamsho wa kiroho ndani yako unahitaji ufanye mageuzi. Sisi wenyewe ndiyo tunakuwa watu wa kujiwekea vizuizi vya kiroho. Tumejiwekea vikwazo na vizuizi vingi. Viko vitu ambavyo tumejiambia tunaweza kuvifanya na kuna vitu vingine hatuwezi kuvifanya. Viko vitu pia ambavyo tunavikubali sana na vingine …
Hivi Ndivyo Unavyojipoteza Mwenyewe
Kwenye haya maisha kama hujajitambua hakika utateseka. Watu ambao hawajitambua kiakili, kimwili na kiroho ndiyo wale ambao wanakuwa chambo kila siku kuwasaidia watu wengine kupata kile wanachotaka kwenye maisha yao. Watu hawataki kuisikia kweli, ndiyo maana uwongo unawaumiza sana kila siku. Ukimwambia mtu ukweli atakuchukia lakini ukimwambia uwongo anafurahia. Hapa ndiyo naposema asiyejitambua ni mtu …
Jitenge Na Fedha Hizi
Hata kama biashara ni yako lakini siyo kigezo cha kukustahilisha wewe kutumia fedha za biashara vile unavyotaka wewe. Biashara na wewe ni vitu viwili tofauti. Unatakiwa utofauti kati ya wewe na fedha za biashara. Jitenganishe kati ya wewe na fedha za biashara. Ukiwa na biashara yako hakikisha unafuatilia namba muhimu sana.Jua mtaji unaozunguka kwenye biashara …
Faida Ya Kucheza Uwanja Wa Nyumbani
Ukiwa unaishi kwa misingi uliyojiwekea maisha yanakuwa bora sana. Usipokuwa na misingi unayoisimamia maisha yanakuwa ya hovyo sana. Kilichowasaidia wanafalsafa kuwa bora ni kuwa na misingi inayowaongoza kwenye kile wanachofanya. Kama unasoma hapa na huna misingi inayokuongoza kwenye maisha yako, hakikisha unakuwa nayo ili uweze kujiongoza vizuri. Dunia ya leo bila misingi utachelewa kufika kule …
Jibu Hili Swali Na Utapata Hamasa Kwenye Kile Unachotaka
Njia ya kwanza ya kupata hamasa kwenye maisha yako ni kupitia kile unachotaka kwenye maisha yako. Ili uweze kufanikiwa hatua ya kwanza ni kujiuliza nini haswa unataka kwenye maisha yako? Majibu utakayopata hapa yatakuwa yanakusukuma kukupa hamasa ya kuendelea kufanya kwenye kile unachotaka. Swali lingine kubwa ambalo unapaswa kujiuliza baada ya kujua nini haswa unataka, …
Continue reading "Jibu Hili Swali Na Utapata Hamasa Kwenye Kile Unachotaka"
Kanuni Ya Almasi Inayotufanya Tusiwe Sawa
Kuna kanuni moja ya dhahabu iliyoandikwa sana kuanzia kwenye vitabu vya dini mpaka vya kawaida. Ni kanuni nzuri, ambayo inasema hivi, mtendee mwingine kile ambacho wewe unapenda kutendewa. Kanuni hii imekuwa inahubiriwa kwenye nyumba za ibada na nk. Ukiitafakari kanuni hii kwa undani ina mapungufu yake. Kwa sababu kile unachopenda wewe hakiwezi kuwa sawa na …
Continue reading "Kanuni Ya Almasi Inayotufanya Tusiwe Sawa"
Haya Ndiyo Maumivu Ambayo Unaweza Kuyavumilia
Kila mtu anapitia maumivu katika maisha yake. Na hakuna mtu anayeishi bila maumivu. Lakini siyo kila maumivu unaweza kuvumilia. Maumivu ambayo unaweza kuyavumilia ni yale ambayo yana maana kwako. Kama maumivu hayana maana kwako huwezi kuvumilia kitu. Lakini yakiwa yana maana utaweza kuvumilia. Ni mara ngapi kwenye maisha yako unakutana na changamoto?Lakini kuna changamoto nyingine …
Continue reading "Haya Ndiyo Maumivu Ambayo Unaweza Kuyavumilia"
Usipambane Na Mtu Huyu
Iko hivi rafiki yangu, unatoa kile ambacho unacho. Huwezi kutoa kile ambacho huna. Kumbe basi, mtu anatoa kile ambacho anacho. Kama una amani ya moyo wako basi utatoa amani. Kama una chuki utatoa chuki. Kama una upendo ndani yako basi utatoa upendo. Siku zote huwa tunauza kile ambacho tunacho. Mtu akiwa na matatizo yake ya …
Vigezo Vitatu Vitakavyokusaidia Kuchagua Watu Wa Kufanya Nao Kazi
Linapokuja suala la kazi watu wa kufanya nao kazi huwa wanakuwa ni changamoto sana. Ukikosa watu wa kufanya nao kazi ni mtihani, ukiwapata tena nao wanakuwa mtihani. Kila kitu katika maisha kinakuwa mtihani. Tunasema kazi zimekuwa shida karne hii lakini ukweli ni kwamba watu ndiyo wamekuwa tatizo. Watu wakipewa kazi hawawezi kutoa ile thamani ambayo …
Continue reading "Vigezo Vitatu Vitakavyokusaidia Kuchagua Watu Wa Kufanya Nao Kazi"
Unapaswa Kushukuru Juu Ya Jambo Hili
Huwa kila mtu anapenda mambo yake yaende kama alivyopanga. Wakati mwingine yanaweza kwenda kweli kama ulivyopanga na kuna wakati mambo yanaenda vile yanavyotaka. Pale mambo yanapoenda tofauti na ulivyopanga wala usikarike bali furahia. Kwa sababu wewe ni nani mpaka asili ikuogope? Asili huwa inaamua kufanya kile inachotaka bila kumsikiliza mtu. Hivi asili ingekuwa inawasikiliza watu …