Kisaikolojia binadamu wanapenda kuhisi kuthaminiwa, kuhusishwa, kupendwa na kujaliwa. Ndiyo maana unakuta mtu mwingine anaweza kulalamika kuwa kwanini hajahusishwa katika jambo fulani. Unapomhusisha mtu naye anajisikia kuona anaaminika, anapendwa na kuthaminiwa pia. Kitu ambacho binadamu hapendi kufanyiwa kwenye maisha yake;Ni kufanyiwa MAAMUZI. Kila binadamu anapenda kufanya maauzi yake mwenyewe, anapenda kushirikishwa kwenye mchakato wa maamuzi. …
Continue reading "Kitu Ambacho Binadamu Hapendi Kufanyiwa Kwenye Maisha Yake"