Acha Kukimbizana Na Kila Kitu

Hakuna mtu ambaye amebobea kwenye kila kitu. Kila mbobezi amebobea kwenye kitu kimoja tu. Daktari bingwa wa moyo, hawezi kuwa mbobezi kwenye macho wakati huo huo. Unapoamua kubobea unapaswa kuchagua kitu unachopenda na kufanya na kuwa vile unavyotaka kuwa. Sasa iweje wewe unataka kuwa kila kitu? Unataka kufanya kila kitu peke yako, wewe ni nani? …

Hawa Ndiyo Watu Wenye Furaha Sana Duniani

Pengine ulikuwa unafikiria watu wenye furaha sana duniani ni watoto hapana, kwa hapa watoto watoe kabisa. Watu wamekuwa wanazitafuta furaha kwa kufanya mambo mbalimbali ili mradi tu wapate furaha. Lakini furaha yao imekuwa haidumu kabisa kwa mfano, mtu anasema akiwa na kitu fulani atakua na furaha anajitahidi anakua nacho kweli lakini baadaye itabidi atafute kitu …

Kabla Hujaanza Mwaka Mpya, Kuwa Na Uhuru Huu Hapa

Najua watu wengi wamekuwa watumwa, kwa sababu wanafanya vile vitu wasivyovipenda. Mtu anafanya kazi tu kwa sababu hana namna nyingine lakini kutoka ndani ya moyo haipendi. Takwimu za watu kutokupenda kazi zao zinasikitisha na hii ndiyo inapelekea watu wengi kutofanikiwa na kutokuongeza ufanisi kwenye kazi zao. Kama kitu hukipendi huwezi kwenda hatua ya ziada. Ila …

Usilazimishe Haya Yatokee

Huwa tunajipa kazi ya kuwa kiranja wa dunia. Kwa sababu tunataka mambo yaende kama vile tunavyotaka sisi.Hatujui kwamba hatuwezi kuiendesha dunia maana dunia inajiendesha vile inavyotaka yenyewe. Unataka kuwa kiranja wa dunia, pale unapotaka watu wafanye kama vile unavyotaka wewe. Unalazimisha watu waishi kama vile unavyotaka wewe. Hiyo ni kazi ambayo iko nje ya uwezo …

Jinsi Ya Kuibadilisha Dunia

Ni rahisi sana, nenda nyumbani na kaipende familia yako. Mama Theresa aliwahi kusema, kama unataka kuibadilisha dunia nenda nyumbani na kaipende familia yako. Leo iwe siku ya familia takatifu kwenye familia yako. Fanya kitu cha tofauti kwenye familia yako ambacho kitampendeza Mungu. Familia takatifu ni ile inayompendeza Mungu je familia zetu zinampendeza Mungu? Ukiona mtoto …

Changamoto Kubwa Kwenye Fedha Huwa Inaanzia Hapa

Tukiachana na hewa tunayovuta, kitu cha pili ambacho ni muhimu sana kwenye maisha yetu ni fedha. Ndiyo, fedha ni muhimu sana na hilo halina ubishi. Changamoto kubwa ya fedha inaanzia kwenye kipato.Kipato kikiwa kidogo matumizi nayo yanakuwa madogo. Na kipato kikiwa kikubwa na matumizi nayo yanakuwa makubwa. Na siku zote fedha ikiwepo huwa haikosi matumizi. …

Usiendeshwe Na Maana Unazojipa

Kiasili hakuna kitu kibaya au kizuri. Kitu kinakuwa kizuri au kibaya pale ambapo sisi tunatoa zile maana zetu wenyewe. Lakini tukichukulia kawaida hakuna baya wala zuri. Maana ambazo huwa tunajipa ndiyo zinatuumiza au kutokutuumiza. Siku ya leo ni siku kama siku nyingine. Lakini kwanini siku ya leo inaonekana ni ya kipekee kuliko nyingine? Jibu ni …

Njoo Tuyazungumze Na Tuyaweke Sawa Upate Zawadi Ya Kitabu Kimoja

Hiki ni kipindi cha kutengeneza njia zetu za kiroho ili ziwe safi. Pata picha chumba kisichosafishwa mwaka mmoja kinakuwaje? Sasa kwanini hutaki kumalizana na jirani yako? Mliyekoseana karibu mwaka mzima. Unaonaje mkifanya mazungumzo, myamalize na myaweke sawa? Miili yetu ikichafuka huwa tunaoga, nguo na vitu vingine vikichafuka huwa tunavisafisha na kuwa safi. Vipi roho zetu? …

Dakika Kumi Na Tano (15) Tu Zinakutosha Kufanya Kitu Hiki Hapa

Hizi ni zama ambazo kila mtu yuko bize lakini ukipima matokeo hakuna kitu. Wimbo wa niko "bize" umekuwa unaimbwa karibu kila siku. Ukimwambia mtu afanye kitu fulani atakuambia sina muda yaani niko "bize"kweli.Ni rahisi kusema huna muda kama hujaupangilia muda wako vizuri. Kila dakika inayoenda lazima uwe umeipangilia kufanya kitu lakini unakuta watu wanasema hawana …

Hivi Ndiyo Vitu Ambavyo Haviwezi Kukuongezea Furaha

Vile ambavyo unaona kwa wengine ni bora na vya thamani siyo bora kama unavyofikiria. Huenda maisha yako ni bora kuliko kile ambacho unachotamani kwenye maisha ya wengine. Kununua vitu zaidi hakukuongezei furaha.Kwanini?Kwa sababu baada ya muda unazoea vile vitu ulivyonunua. Kwa mfano pata picha kwenye maisha yako, kuna vitu ulikuwa unavitamani ukaweka kazi na ukavipata …

Design a site like this with WordPress.com
Get started