Kuna matatizo mawili makubwa kwenye zama tunazoishi sasa.Tatizo la kwanza ni watu kuishi kwa mazoea na kufuata mkumbo . Wanafanya kile ambacho kila mtu anafanya, kwa sababu wengine wamezoea kufanya hivyo. Hapo ndipo upekee wao unaofaa kung’aa unazimwa. Tatizo la pili ni watu kutokujali kile wanachofanya . Iwe ni kazi au biashara, wengi wanafanya tu …
Continue reading "Njia Saba za Kujitofautisha na Kuwa wa Kipekee (Sehemu ya Kwanza)"