Hofu ni moja ya hisia zenye nguvu zaidi katika maisha ya mwanadamu.Inaweza kukuokoa au kukuharibu.Inaweza kukuonya au kukufunga. Tatizo siyo kuwa na hofu.Tatizo ni kutoielewa hofu yako. Kwa nini hofu ipo? Kiasili, hofu ipo kukulinda.Inakuonya kabla ya hatari.Inakufanya uwe mwangalifu kabla ya kuchukua hatua. Lakini kwenye maisha ya leo, hofu imebadilika.Siyo tena hofu ya simba …
Continue reading "January 8: Hofu – Rafiki au Adui wa Mafanikio?"