Hizi Ndiyo Dalili Za Mtu Ambaye Hajajitambua Katika Maisha Yake

Habari ya leo mpendwa rafiki? Ni matumaini  yangu hujambo na unaendela vizuri.  Hongera kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo hivyo basi ni ushindi tosha nenda kaitumie vizuri zawadi katika mambo chanya ili upate matokeo chanya. Ukimsikia mtu anakuambia niko hapa napoteza poteza muda basi kabisa jua huyo mtu ni masikini, mvivu au kuna …

Hatua Tatu Muhimu Za Kuchukua Kabla Hujakatishwa Tamaa Na Mtu Yeyote Yule

Mpendwa rafiki; Hakuna  binadamu ambaye anakosa upinzani hapa duniani. Asili ya dunia pale unapofanya kitu tofauti na wengine lazima dunia ikupinge kwa kile unachofanya ili waone je mtu huyo anaigiza kile anachofanya au ni kitu ambacho kipo kweli ndani ya moyo wake. Kwa sababu dunia lazima ikujaribu na kamwe haiwezi kukuachia upate ushindi kiurahisi lazima …

Siri Ya Kupanda Na Kushuka Kwa Kipato Chako

Huwa watu wanalalamika sana kusema fedha ikiingia mikononi mwao huwa haikaki na wengine hudiriki kusema fedha ni shetani, wengine husema  kuna mkono wa mtu au kuna chuma ulete ndiyo maana fedha haikai. Kila mtu huwa anasema lake juu ya kipato chake lakini tunaongea mengi  bila kufahamu siri ya kipato ni nini. Siri ya kipato rafiki …

Jinsi Watu Wanavyokunywa Sumu Ya Panya Katika Maisha Yao

Habari ya leo mpendwa rafiki? Hongera sana kwa ushindi mzuri wa siku hii ya leo ulioupata katika maisha yako. Tunaishi katika dunia ambayo kila mtu yuko huru kufanya vile anavyojikia yeye inafaa. Hivyo kwa namna hiyo makwazo ni mengi, siyo wote watakutendea vile ambavyo unataka wewe wanaotuumiza na kutujeruhi ni wengi hivyo kama hujajua msamiati …

Hiki Ndiyo Kitu Pekee Ambacho Huanzia Juu Na Kwenda Chini

Mara nyingi watu huwa wanajihisi vibaya kama wajiona wanaanzia chini kwa kitu chochote kile. Wanaweza kujiona kama wao hawana maana na maisha yako si kitu huku wakiangalia wengine tayari wako juu. Kumbe msingi wa kitu chochote huwa unaanza chini na kuna faida sana kama unataka kujifunza au kufanya kitu chako chochote kuelekea safari ya mafanikio …

Ugumu Ambao Unapatikana Katika Mambo Mengi

Hongera sana rafiki kwa zawadi nzuri ya siku hii y leo. Ni nafasi ya ushindi na ya kipekee sana rafiki hivyo unaalikwa kuitumia vizuri siku yako ya leo. Hakuna siku bora katika maisha yako kama leo kwani ushindi wowote wa maisha yako unatengenezwa na siku hivyo kuipoteza siku ni kupoteza mafanikio yako. Huwa tukiangalia mambo …

Kila Kitu Unachokifanya Unatakiwa Kukifanya Kwa Namna Hii

Kila kitu unachokifanya unatakiwa kukifanya kwa umakini sana. kwa sababu kuna gharama za kutokuwa makini na kitu unachokifanya. Usipokuwa makini utakua ni mtu wa kulipa gharama kila siku tena utakua unalipa kwa riba kubwa. Rafiki, unapokuwa unafanya kitu chochote hakikisha unakuwa akili na mwili wako unakuwa pale kwa muda huo. Mara ya kuwa sehemu kimwili …

Rasilimali mbili muhimu Zenye Mafanikio Makubwa Kwa Kila Mtu

Unaendeleaje rafiki? Tuna mitaji mikubwa sana katika maisha yetu kadiri ya rasilimali tulizopewa bure na Mungu. Ziko rasilimali nyingi ambazo ukizitumia vizuri utaweza kupata fedha vizuri na kufanya maendeleo makubwa na kugusa maisha ya watu wengine. Kuna rasilimali mbili muhimu kwa kila mtu zinazoweza kumletea mafanikio katika maisha yake na hata ya wengine. Ni rasilimali …

Hii Ndiyo Njia Rahisi Kabisa Ya Kuwa Tajiri

Habari  ya leo mpendwa rafiki ? Kila mtu anajua kuwa fedha ni muhimu katika maisha yetu na hilo halina ubishi wala halihitaji swali. Kama fedha ni muhimu katika maisha yetu tunatakiwa tupambane tuupate utajiri kwa sababu hakuna faida yoyote ambayo mtu anaipata kama kuwa masikini. Ziko nyingi ambazo watu wanatumia ili kufikia katika utajiri. Wengine …

Kama Unataka Kufanikiwa Kwenye Mipango Yako Nunua Vitu Hivi Viwili

Habari mpendwa rafiki? Hongera sana kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo. Leo ni siku bora sana kwako kufanya kile ulichopangilia kufanya leo. Hakuna kitu kigumu kama nidhamu kwa sababu kama kungekuwa na nidhamu yoyote ya hali ya juu tusingeweza kuishi maisha ya ajabu kwani mambo yanakwenda ndivyo sivyo kwa sababu ya kukosa nidhamu. …

Design a site like this with WordPress.com
Get started