Jinsi Ya Kupima Imani Yako Juu Ya Kitu Chochote Kile

Mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa KESSY DEO, Kwanza imani haipimwi kwa mizani au kwa wiingi au kwa uchache kama ilivyo vitu vingine. Imani inapiwa kwa njia kuu mbili ya kwanza ni; Ukweli, unaweza kupima imani ya mtu fulani ni yakweli au la hivyo kupitia ukweli unaweza kupima imani lakini huwezi kuipima ndiyo maana …

Jinsi Ya Kupata Matokeo Tofauti

Mwanasayansi Albert Einstein aliwahi kusema ujinga ni kufanya kitu kwa mtindo ule ule na kutegemea kupata matokeo tofauti. Huenda unategemea kupata matokeo tofauti lakini kila siku utendaji wako wa kazi ni ule ule. Mfumo wa maisha yako ni ule, watu unakutana nao kila siku ni wale wale na hadithi mnazopiga kila siku ni zile zile. …

Faida Za Kumsomesha Mtoto Wako Shule Za Karibu

Mpendwa rafiki, Wazazi wengi wamekuwa wakiendeshwa na fasheni ya kuwapeleka watoto wadogo sana shule hii inawapelekea hata kudumaa katika ukuaji wao. Inawapelekea watoto kuchukia shule mapema hata hajafika madarasa ya kati kati. Kila mzazi anayesoma hapa hakuna aliyewahi kupelekwa shule akiwa na miezi sita, mwaka, miaka 2, 3,4,5 wengi walipelekwa wakiwa wanajitambua kabisa na walikuwa …

Hakuna Mtu Anayeweza Kuubeba Msalaba Wa Mtu Huyu Hapa

Habari Rafiki na msomaji wa mtandao wa KESSY DEO? hongera kwa zawadi ya siku hii ya leo na karibu sana tuweze kujifunza kile nilichokuandalia siku hii ya leo. Hakuna anayeweza kubeba msalaba wa mtu hata siku moja. Kila mmoja ana msalaba wake na unaweza kuona msalaba wa mwenzako ni mrahisi lakini akikupa kamwe huwezi kuubeba …

Haya Ndiyo Matokeo Ya Kile Unachokimbia Katika Maisha Yako

Mpendwa rafiki, Dunia huwa inaasili ya kumuadhibu kila mtu anayekwenda kinyume na sheria ya asili hapa duniani. Hilo halina ubishi, chochote ambacho unafanya kinyume na misingi ya kitu husika lazima utaadhibiwa tu, unaadhibiwa kwa kosa ulilofanya. Watu wamekuwa ni waajabu sana wanajaribu kukimbia matatizo yao huku wakijua wataendelea kubaki salama lakini asili ya dunia haiwezi …

Ufahamu Mradi Pekee Ambao Haujawahi Kutokea Hapa Duniani

Watu wanaopata shida hapa duniani ni wale wanaokimbia matatizo yao.  Watu wanakimbia matatizo yao badala ya kuyatatua , wanahangaika huku na huko kumtafuta nabii wa ukweli huku wakisahahu kuwa nabii wa ukweli ni yeye mwenyewe. Mbaya zaidi watu wanaopata shida sana katika jamii yetu siku hizi ni wale wanaosema uongo.  Ukisema uongo unatakiwa uwe unakumbuka …

Hakuna Aliyefanikiwa Kwa Kusikiliza Kitu Hiki Kwenye Maisha Yake

Hakuna mafanikio ambayo yanakuja kirahisi katika maisha yetu, ili kupata chochote lazima upambane yaani maisha yamekuwa ni vita kama uliwahi kusema vita hakuna kipindi hiki ukiachana na vile vita vilivyowahi kutokea kama vita ya kwanza nay a pili ya dunia ila kwa sasa vita vyako ni maisha. Mambo ni magumu lakini ni magumu sana kwa …

Kitu Muhimu Ambacho Kila Kiongozi Anapaswa Kukinunua Katika Utawala Wake

Rafiki, kila mtu ni kiongozi katika maisha yake. Hata kama huna cheo cha kuongoza wengine ila kwa kuishi tu wewe ni kiongozi kwa sababu kwa namna yoyote ile lazima utahitaji kujiongoza mwenye katika maisha yako ambapo maisha yako ndiyo utawala wako. Kila mtu ni mkurugenzi wa maisha yake yeye mwenyewe hivyo kama unalalamika hujawahi kuwa …

Hiki Ndiyo Kisasi Bora Unachotakiwa Kumfanyia Adui Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa KESSY DEO? Hongera sana rafiki kwa ushindi wa siku hii ya leo kwani leo ni siku bora na kipekee sana kwetu. Napenda kutumia nafasi hii kukutakia heri ya mwezi wa pili. Hongera sana rafiki kwa kumaliza mwezi januari salama na kuanza mwezi mpya kwa hamasa …

Jinsi Ulivyo Inatokana Na Kitu Hiki

Ulishawahi kujiuliza kwanini uko hivyo ulivyo? Katika maisha yetu ya kila siku kila kitu tumekitengeneza sisi wenyewe. Kutokana na mwenendo  wa maisha yetu na zile tabia zetu za kila siku  huwa zinaa maisha  ambayo unaishi sasa. Kila kitu kinajengwa na tabia ya mtu, kwa mfano kukopa ni tabia ya mtu, kuweka akiba ni tabia ya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started