Rafiki, hongera kwa zawadi ya miezi ya sita kuendelea kua hai na heri ya mwezi juni. Salamu nyingi rafiki zikufikie hapo ulipo lakini pia nikutakie kila la heri katika awamu hii ya pili ya mwaka huu. Rafiki, huenda mwaka huu ulipoanza uliuanza kwa gia namba nne, na kama tunavyojua kwa wale madereva ukianza kuendesha gari …
Continue reading “Badilisha Gia Na Weka Gia Namba Moja Kwenye Awamu Hii Ya Pili Ya Mwaka”