Njia Bora Ya Kuona Mchakato Wowote Ni Mrahisi

Mpendwa rafiki, Kila mtu anapitia mchakato fulani katika maisha yake. Kila mtu anapambana kila siku kupata kile anachokitaka kwenye maisha yake. Maisha yanakosa hamasa kama unakuwa huna kitu unchokitafuta lakini ukiwa na kitu kinachokupa hamasa ni kusukuma kwanini ufanye kila siku, kwanini usiahirishe, usiweke sababu bali matokeo tu. Unatakiwa uwe na kitu ambacho kinakusukuma kila …

Mambo Matatu Ya Kujifunza Kutoka Ndege Aina Ya Tai

Mpendwa rafiki yangu, Kama uko duniani basi kujifunza ni wajibu wa kila mtu. Ukikwepa kujifunza basi unakwepa maisha yako, huwezi ukafanikiwa kama unakwepa kujifunza kwenye maisha yako. Ni wazi kwamba kila mmoja wetu amezaliwa akiwa anajua vitu viwili tu kulia na kunyonya maziwa ya mama. Lakini leo hii tunajua vitu vingi zaidi ya hivyo na …

Jinsi Ya Kuepuka Kutosahau Vitu Ndani Ya Siku Yako

Mpendwa rafiki, Hongera sana kwa juma jipya na siku bora sana ya leo katika maisha yako. Binadamu huwa tunakuwa na asili ya kusahau mambo sana, huwa tunajikuta tunaahidi kufanya mambo mengi na wakati mwingine tunawaahidi hata watu kuwa nitafanya kitu fulani lakini baada ya muda tunajikuta tunasahau. Muda mwingine tunabanwa kweli hata tukiona jumbe katika …

Kitu Ambacho Hutakiwi Kujiharibia Kwenye Maisha Yako

Mpendwa rafiki, Maisha ni magumu tayari ila watu wanayafanya kuwa magumu zaidi. Hakuna kitu karahisi katika hii dunia yaani kila kitu unaalikwa kulipia gharama ili uweze kukipata. Watu wanasema maisha ni magumu je kuna siku ulishawahi kusikia maisha ni marahisi? Maisha ni magumu kwa kila mmoja kwa sababu ili upate lazima upambane katika ile dhana …

Kitu Muhimu Cha Kuzingatia Kabla Hujachukua Mkopo

Mpendwa rafiki, Kuna mikopo ya aina mbili yaani mikopo inayozalisha na mikopo isiyozalisha. Kwa mfano, unakopa kwa ajili ya kununua nguo na mikopo ya kuzalisha ni pale unapokopa kwa ajili ya kwenda kuboresha kile unachofanya yaani biashara yako. Lakini watu wengi wanachukua mikopo ambayo haizalishi ndiyo maana mikopo inaendelea kuwa sumu kwa watu wengi kwa …

Mtego Mbaya Unaotuingiza Katika Mazoea Ya Kila Siku

Mpendwa rafki, Hakuna eneo la maisha yetu ambalo linaweza kwenda vizuri bila kuwa na nidhamu binafsi. Tumekuwa ni watu wazuri wa kupika sababu nzuri za kwanini hatuwezi badala ya kwanini tunaweza. Tunapanga kufanya mambo mengi tena ni mazuri na makubwa lakini tunashindwa kutekeleza kile tunachopanga kwa sababu ya kukosa nidhamu binafsi. Tukikosa nidhamu tumekosa maisha …

Maamuzi Yanayogharimu Watu Wengi

Mpendwa rafiki, Hivi tulivyo leo na jinsi tunavyoishi inatokana na maamuzi tuliyoyafanya hapo nyuma.  Maisha unayoishi leo ni maamuzi uliyochagua kufanya  wewe mwenyewe. Maamuzi ndiyo maisha kweli hata unayemwona leo kafanikiwa au hajafanikiwa kitu kilichomfanya awe hivyo alivyo leo ni maamuzi aliyochukua happ awali. Hakuna sehemu ambayo tunapaswa kuwa makini katika maisha yetu kama sehemu …

Kabla Hujasema Umeshindwa Jiulize Swali Hili

Mpendwa rafiki, Kujaribu siyo kushindwa. Tunatakiwa kujaribu mara nyingi zaidi kadiri tuwezavyo. Unapokuwa unafanya majaribio mengi ndiyo unapata na kuja na suluhisho bora, mtu aliyefanya mara moja na aliyefanya mara kumi hawawezi kuwa sawa hata siku moja. Huwa tunajaribu kufanya vingi lakini pale tunapopata matokeo tofauti tu tunajiambia kuwa tumeshindwa na kujiona kama vile sisi …

Njia Ya Kupata Fedha Nyingi Hapa Duniani

Mpendwa rafiki yangu, Kila mtu anapenda pesa na kila mtu anajua kuwa fedha ni muhimu na keshi ndiyo mfalme. Keshi inakubalika kila sehemu ya maisha yetu. Fedha ni nzuri kwa sababu ni jawabu la mambo yote hata mhubiri kasema katika kitabu chake. Kama huna pesa jibu la haraka huna thamani unayoitoa katika jamii yako. Kama …

Swali Muhimu sana La Kujiuliza Kabla Hujaanza Kuwaogopa Watu

Mpendwa rafiki, Kuna watu hawajawahi kuishi maisha yao tokea Mungu aumbe hii dunia. Wamekuwa wakiishi maisha ya shida na ya utumwa kwa ajili ya kuwafurahisha watu wasiojali. Watu wanaogopa watu wanajitahidi kuishi kadiri ya watu wanavyotaka lakini siyo kadiri yao wao wanavyotaka na utakuta muda mwingine wanalalamika kabisa juu ya hayo maisha lakini hawachukui hatua …

Design a site like this with WordPress.com
Get started