Mpendwa rafiki, Dunia ni watu na watu ndiyo dunia. Kuna watu ambao ukikutana nao katika maisha unajuta na kuna wengine ukikutana nao katika maisha yako unafurahi na hata kusema kwanini sikujuana naye mapema lakini, muda sahihi kwako ndiyo huu hakuna kitu ambacho kinatokea kwako kwa bahati bali kila kitu kinakuja kwa wakati wake, kiimani tunaweza …
Category Archives: Uncategorized
Dhambi Kubwa Inayotendwa Na Watu Wengi Karne Ya 21
Mpendwa rafiki, Hii ndiyo karne ya kipekee ambayo ina kila aina ya mambo ambayo hayajawahi kutokea tangu kuanza kwa dunia. Kuna mambo ambayo yanatokea sasa hivi mtu aliyeishi miaka ya nyuma hakuweza kabisa kufikiria kama leo duni ingekuwa hivi. Tunaalikwa kufikiri kitandawazi lakini kufanya yale ambayo yanaendana na utamaduni wako. Siyo kila kitu ni cha …
Continue reading “Dhambi Kubwa Inayotendwa Na Watu Wengi Karne Ya 21”
Njia Ambayo Watu Wengi Wanaitumia Kupoteza Muda Wao Asubuhi
Mpendwa rafiki, Kuna watu wanalala hawajui hata nini watakwenda kufanya kesho yake hivyo wanapoamka asubuhi wanakuwa hawajui nini wanatakiwa kufanya. Hapa ndiyo mahali ambapo watu wengi huwa wanaziharibu siku zao kwa kufikiria nini cha kufanya badala ya kufanya. Asubuhi siyo muda kabisa wa kufikiria sasa nifanye nini bali ni muda wa kufanya tu, unatakiwa kabla …
Continue reading “Njia Ambayo Watu Wengi Wanaitumia Kupoteza Muda Wao Asubuhi”
Njia Ngumu Ya Kufanikiwa Katika Maisha Yako
Mpendwa rafiki, Kila mtu anapata shida kupata kile anachokitafuta, hakuna kitu ambacho kitakuja katika maisha yetu bila ya sisi kuamua. Kama unataka kufanikiwa utafanikiwa kama hutaki kufanikiwa hutofanikiwa ni sisi ndiyo tunayo nafasi ya kufungulia chochote tunachotaka kiingie kwenye maisha yetu hapa duniani. Sisi tumekuwa ufunguo wa kufungua na kufunga hivyo chochote tutakacho karibisha kwenye …
Continue reading “Njia Ngumu Ya Kufanikiwa Katika Maisha Yako”
Kitu Pekee Unachoweza Kupata Bila Fedha Hapa Duniani
Mpendwa rafiki, Tunaishi katika zama ambayo kila kitu kinahitaji fedha,ili maisha yetu yawe bora yanahitaji pesa pia na hata mazingira yanayotuzunguka ili yapendeze yanahitaji fedha. Wako wako ambao wanajifariji kwa ujinga kuwa fedha siyo kila kitu katika maisha yao,haileti furaha hivyo wanatumia kama mwavuli wa wao kuficha uzembe wao wa kutotafuta fedha. Ukichunguza mwenyewe kila …
Continue reading “Kitu Pekee Unachoweza Kupata Bila Fedha Hapa Duniani”
Jinsi Ya Kuepuka Kuwa Mtumiaji Wa Msamiati Wa Laiti Ningelijua Hili
Mpendwa rafiki, Hongera sana kwa juma namba 29 na likawe juma bora kwako. Huwa tunapata umakini mpaka pale tunapokosea katika maisha yetu. huwa tunajiona tupo makini kama hatujakisea. Natumaini msamiati wa laiti ningelijua umeshautumia mara nyingi sana katika maisha yako na huenda kuna mengi sana ulifanya kwa uzembe, ujinga au uvivu na leo unakuja kujitia …
Continue reading “Jinsi Ya Kuepuka Kuwa Mtumiaji Wa Msamiati Wa Laiti Ningelijua Hili”
Kuwa Wa Kwanza Na Wa Mwisho Katika Sehemu Hizi Mbili
Mpendwa rafiki, Ili kujitofautisha na wengine unatakiwa uwe na nidhamu sana kwa sababu mtu mwenye nidhamu ya maisha anakuwa siyo mtu wa kuongea bali ni vitendo hivyo basi, yule anayesimamia nidhamu anakuwa anatekeleza mambo mengi katika maisha yake. Huwa tunapenda kuwa kama watu fulani kwa mdomo tu lakini sasa kuingia katika uwanja wa kufanya ndiyo …
Continue reading “Kuwa Wa Kwanza Na Wa Mwisho Katika Sehemu Hizi Mbili”
Ondoka Haraka Sana Kama Uko Katika Hali Hii Ya Kifedha
Mpendwa rafiki yangu, Kuna ndugu mmoja alifiwa na rafiki ya mama yake hivyo huyo ndugu alishindwa kwenda kumzika rafiki wa mama yake kwa sababu ya kukosa pesa kabisa. Labda ingekuwa nauli ya mkoa kwa mkoa lakini ni ndani ya mkoa hapo tunamaanisha ni kama tu kupanda daladala ndani ya mkoa unaoishi yaani kutoka wilaya moja …
Continue reading “Ondoka Haraka Sana Kama Uko Katika Hali Hii Ya Kifedha”
Utafanikiwa Kwa Njia Zote Lakini Siyo Hii
Mpendwa rafiki, Mafanikio ni mazuri lakini sharti upitie njia sahihi. Kama unataka kuwa na mafanikio makubwa ya kibiashara au uwekezaji wowote ule hauwezi kukwepa kitu kinachoitwa kodi. Huwezi kuishi kwa kukimbia kila siku kwa kukwepa kulipa kodi pamoja na kurasimisha biashara zako. Mara nyingi halali yoyote ni kama ukweli unatuweka huru na kufanya mambo yetu …
Continue reading “Utafanikiwa Kwa Njia Zote Lakini Siyo Hii”
Kitu Pekee Unachojidhulumu Katika Zama Hizi
Mpendwa rafiki, Ukiingia katika jamii yetu na ukikaa na watu waliokata tamaa utaona duniani si sehemu salama ya kuishi kwa kila mmoja wetu. Utaambukiwa virusi vya watu waliokata tamaa na kuona maisha ni magumu sana na watu ambao wanalalamika kuwa maisha ni magumu ni wale ambao hawachukui hatua ipasavyo yaani hawajitumi. Kwa sababu maisha ni …
Continue reading “Kitu Pekee Unachojidhulumu Katika Zama Hizi”