Mpendwa rafiki, Pale mwaka mpya wa 2018 ulipoanza kila mtu alikuwa na hadithi nzuri sana ya kusimulia mwaka huu, wengi walisimulia kuwa watafanya mambo mengi na hata kuandika wengine waliandika na wakaanza kufanya siku za mwanzoni. Lakini je hiyo ndiyo ahadi uliyojiwekea na unachofanya sasa hivi? Tulijiwekea ahadi za kufanya makubwa je hicho unachofanya sasa …
Category Archives: Uncategorized
Hii Ndiyo Aina Bora Ya Makubaliano Unayotakiwa Kufanya Kila Siku
Mpendwa rafiki yangu, Maisha ni makubaliano bila makubaliano hakuna maisha (bargaining). Ili tuweze kupata kitu chochote lazima kwanza tufanye kwanza makubaliano na makubaliano huwa yanatokea katika pande mbili. Lengo la makubaliano yoyote ni kila mtu kushinda na inapotokea mmoja kashindwa mwingine kashinda inakuwa siyo aina bora ya makubaliano kila mtu anatakiwa aondoke akiwa ameridhika katika …
Continue reading “Hii Ndiyo Aina Bora Ya Makubaliano Unayotakiwa Kufanya Kila Siku”
Kitu Cha Kufanya Kama Umeshajigundua Uko Kwenye Shimo
Mpendwa rafiki, Shimo linaweza kuwa ni matatizo au changamoto fulani. Usiendelee kuvumilia kuwa na mtu mzigo katika maisha yako kama umeshamgundua ni mzigo. Kwa mfano, kama msaidizi wako wa kazi umegundua ana tatizo fulani,labda hajui hesabu katika biashara, au anakuibia usiendelee kumvumilia hata siku moja. Unapogundua tatizo lolote litatue haraka sana, usisubiri ruhusa, tatizo moja …
Continue reading “Kitu Cha Kufanya Kama Umeshajigundua Uko Kwenye Shimo”
Uko Hapo Ulipo Kwa Sababu Hii Hapa
Mpendwa rafiki, Kila mtu yuko hapo alipo kwa sababu fulani. Maisha yako hivyo ulivyo kwa sababu fulani,umechangia maisha yako kuwa hivyo ulivyo leo wala huhitaji kumlaumu mtu kuwa maisha yako hayajakaa sawa kwa sababu ya mtu fulani kwani hujui ya kwamba jukumu la maisha yako ni lako mwenyewe? Iko hivi rafiki, uko hapo ulipo kwa …
Usijenge Urafiki Na Mtu Huyu Kwenye Safari Ya Mafanikio
Mpendwa rafiki, Kuna kitu kinachotufanya sisi tuwe hivi tulivyo leo. Kuna watu ambao wakishapata hela ya kula hawana haja tena ya kujitoa kufauta mpaka kile walichokitafuta kiishe kwanza. Huwa kinachotumaliza mapema katika mafanikio ni kitu kidogo sana,tukishakuwa na kiti hiko tunajisahau tena kuweka juhudi kubwa kama tulivyoweka mwanzo. Unatakiwa usijenge urafiki na mtu huyo ambaye …
Continue reading “Usijenge Urafiki Na Mtu Huyu Kwenye Safari Ya Mafanikio”
Ogopa Kuwa Mtu Wa Namna Hii Katika Maisha Yako
Mpendwa rafiki, Kila mmoja wetu maisha yake ni ushuhuda kwa mwingine. Tumeitwa kuwa mashuhuda lakini je maisha yetu yana ushuhuda gani kwa wenzetu? Jinsi tu unavyoishi ni ushuhuda kutoka kwa wengine, tuna mambo mengi ambayo tunayashudia katika maisha yetu yanakuwa ni mazuri na mengine ni mabaya. Kuna watu ambao maisha yao yanakuwa yameshikiliwa na watu …
Continue reading “Ogopa Kuwa Mtu Wa Namna Hii Katika Maisha Yako”
Usikubali Kitu Hiki Kikushinde
Mpendwa rafiki, Katika maisha yetu kuna watu wa aina mbili katika eneo la akili. Kuna watu ambao wao akili yako iko fixed yaani hawana muda wa kutafuta suluhisho yaani akipatwa na jambo njia kubwa ya kutatua tatizo kwake ni kukimbia tu tatizo. Kama akipata na changamoto kazini anaona bora tu kuacha kazi kuliko kuendelea na …
Jinsi Watu Wanavyojitenga Na Familia Zao
Mpendwa rafiki, Zama hizi muda umekuwa mdogo kuliko hata pesa, watu wamekuwa bize kila mmoja ana pambana na hali yake ili kuhakikisha anapata kile anachopata. Siyo kila mtu ambaye anasema yuko bize na yuko bize kweli, wengine wamekuwa wanautumia msemo huo wa niko bize ili kuficha uzembe wao. Tunakwepa majukumu yetu ya kifamilia kwa kusingizia …
Huyu Ndiye Mtu Mwenye Mamlaka Makubwa Kwenye Maisha Yako
Mpendwa rafiki, Watu huwa wanafikiri mtu mwenye mamlaka makubwa juu ya maisha yao huwa anatoka sehemu fulani. Kumbe mtu wen ye mamlaka hayo juu ya maisha ya mtu hatoki mbali ni mtu mwenyewe. Wewe ndiyo una mamlaka makubwa juu ya maisha yako kuliko mtu mwingine yoyote hapa duniani. Wewe ndiyo mkurugenzi wa maisha yako hivyo …
Continue reading “Huyu Ndiye Mtu Mwenye Mamlaka Makubwa Kwenye Maisha Yako”
Mambo Manne Ya Kufanya Pale Unapopata Fedha
Mpendwa rafiki yangu, Heri ya mwezi Agosti. Hakuna kitu kinachowafanya watu wengi kuendelea kuwa masikini katika masuala ya fedha kama kukosa nidhamu ya fedha. Tokea mtu amezaliwa ameanza kujitambua na kushika hela mpaka leo anakuambia anaendelea kutafuta hela mpaka leo lakini hakuna hatua yoyote kubwa aliyopata miaka nena rudi maisha ni yale yale tu. Je …
Continue reading “Mambo Manne Ya Kufanya Pale Unapopata Fedha”