Chukua Tahadhari Katika Maeneo Haya Ya Maisha Yako

Tunatakiwa kuishi kwa karibu kila eneo la maisha yetu, usitegemee chochote katika maisha yako na wala usiweke matumaini kwenye kitu fulani kwa sababu dunia inaamua kufanya vile inavyotaka yenyewe. Kuna vitu ambavyo viko nje kabisa ya uwezo wetu wala hatuwezi kuzuia mabadiliko yanayotokea nje. Tuna uhuru wa mambo yako ndani ya uwezo wetu lakini mengine …

Huu Ndiyo Ubingwa Unaopaswa Kuwa Nao Katika Suala La Fedha

Mpendwa rafiki yangu, Hakuna mtu anayeweza kuishi maisha ya kikamilifu kiroho, kimwili na kiakili bila kuwa na fedha. Fedha inakuwezesha kupata kile unachotaka lakini bila fedha huwezi kupata kile unachotaka kwa muda unaotaka. Tukiachana na hewa tunayovuta basi katika zama hizi fedha imekuwa muhimu sana. Inagusa kila eneo la maisha yetu. Jukumu langu na wewe …

Kitu Cha Msingi Cha Kuzingatia Katika Mauzo

Mpendwa rafiki yangu, Biashara ni mauzo, kila mtu kuna kitu anauza ndani yake hivyo kinachotufanya sisi tuweze kuingiza kitu katika mifuko yetu ni kile tunachokiuza. Tunapouza kitu kwa wengine ndiyo tunapokea fedha, fedha ni zao la thamani hivyo tunapotoa thamani katika kile tunachofanya watu wengine wananua ile thamani yetu na wanakuwa tayari kutulipa kadiri ya …

Jiwekee Ukomo Huu Na Utafanikiwa Sana

Mpendwa rafiki yangu, Maisha bila nidhamu  huwa hayana maana kuishi. Binadamu bila kuwa na kitu ambacho kinamhamasisha kufanya ni mgumu sana kufanya. Watu wako tayari kufanya kama wakiona watu fulani wanafanya. Huwa tunahamasika kufanya kama tuna ona kuna wenzetu wanafanya hivyo na sisi tuna hamasika. Lakini ukitegemea hamasa ya nje ili uweze kufanikiwa basi utachukua …

Hizi Ndiyo Nyimbo Za Kusikiliza Pale Unapokuwa Na Huzuni

Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu anapenda furaha na ndiyo maana  watu wengi wanaitafuta furaha kwa nguvu ila wengi furaha zao zimebebwa na vitu na siyo kutoka ndani. Sijui kama kuna mtu anaamka kitandani kila siku na kwenda kutafuta huzuni katika maisha yake. Akili za watu zinatafuta raha na furaha na wala siyo huzuni. Asili …

Jinsi Ya Kuvaa Baraka Zako Vizuri

Rafiki, Kila mtu ni zawadi hapa duniani na kama unajiona wewe siyo zawadi basi ungekuwa umeshakufa siku nyingi au usingezaliwa kabisa. Kuwa tu hai mpaka leo ni zawadi hivyo tumia zawadi ya uhai wako vizuri ili uweze kuacha alama hapa duniani. Tumezaliwa tayari tuna baraka sasa je unajua jinsi ya kuvaa baraka vizuri? Kuna wengine …

Vishinde Vitu Hivi Vitatu Na Maisha Yako Yatakuwa Bora Sana

Mpendwa rafiki, Heri ya mwezi disemba mwanamafaniko, Mafanikio ni kujua siri ya ndani ya mchezo na siyo ya nje. Ndani ya mchezo kuna mambo mengi unaweza kuona maisha ya mtu fulani kwa nje ni marahisi lakini hujui maisha yake ya ndani yakoje. Kuna siri kubwa sana ndani ya maisha ya mtu, maisha ni mchezo wa …

Huu Ndiyo Msamaha Adimu Kuwahi Kutokea Hapa Duniani

Mpendwa rafiki yangu, Hivi kuna mtu ambaye hakosei? Kila mtu anakosea na hivyo basi kama tunakosea pia kuna watu tunaowakwaza yale makosa yetu tunayofanya. Wako ambao wanajiona wao ni watakatifu ambao hawakosei lakini kama huwa tunakosea kwanini tunakuwa tunawahukumu wengine kama vile sisi hatufanyi makosa? Kila mmoja wetu anahitaji msamaha ili aweze kuachilia yote yaliyomo …

Jinsi Ya Kumshinda Goliati Wako

Mpendwa rafiki yangu, Unajua kwamba kila mtu ana goliati wake? Kuna hadithi moja kutoka katika kitabu cha Biblia inayomhusu goliati ambaye anasemekana alikuwa jitu la miraba minne. Na mwingine alikuwa ni daudi ambaye alikuwa ni kijana mdogo mchunga kondoo. Goliati ni mtu ambaye alikuwa anaogopeka sana na ili uweze kupambana naye ilikuwa inahitaji moyo kwa …

Usisahau Kutembea Na Fedha Hii Kule Unakokwenda

Mpendwa rafiki yangu, Hakuna mtu anayeamka na kujua kuwa leo anakwenda kukutana na changamoto gani huko mbeleni. Hatujui  hata dakika za mbele yetu nini kitatokea lakini nguvu yetu iko sasa na siyo wakati ujao.  Unaweza kujivunia kile ambacho unacho sasa na siyo kile ambacho huna unakitegemea huko mbeleni. Huwa tunajiandaa kwa mazuri tu na tunasahau …

Design a site like this with WordPress.com
Get started