Hakuna kazi ngumu kama ya kumfundisha mtu tabia. Watu wanakuwa na tabia zao sasa ukitaka kubadilisha kwa siku moja lazima utashindwa tu. Unaweza kumfundisha mtu kazi, lakini siyo kumfundisha mtu tabia. Ni rahisi kuwalaumu wengine pale tunapoona hawatufanyii vile tunavyotaka sisi. Muda mwingine tunaweza kuona kuwa labda wanatufanyia tu kwa makusudi kumbe wanakuwa hawajui kitu. …
Continue reading “Usimlaumu Mtu Yeyote Kama Hujamfanyia Kitu Hiki”