Usiwe Mtu Wa Namna Hii Katika Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Mtu mmoja aliwahi kusema ni rahisi kuwaswaga kondoo na wakaenda katika mstari mmoja lakini ni ngumu kuswaga paka wakaenda katika mstari mmoja. Kuwaongoza binadamu ni kama vile paka, kila mtu atakwenda njia yake anayojua yeye, lakini kondoo ni rahisi sana kuwaongoza kwani wanafuata mstari mmoja tu. Katika maisha tunatakiwa tusiwe kama kondoo, …

Jinsi Ya Kumfundisha Mtoto Kwenye Uwezekano Wa Mambo

Mpendwa rafiki yangu, Wazazi wengi hawawafundishi  watoto wenye uwezekano wa mambo chanya. Utamaduni huu una waathiri sana watoto kutokuwa na uwezo wa kufikiri mambo katika fikra chanya. Kuna umuhimu mkubwa sana kila mzazi au mlezi kuwafundisha watoto katika uwezekano, watu wengi wanawafundisha watoto mitazamo hasi iliyoshindwa badala ya kuwafundisha mitazamo chanya. Kama wewe ni mzazi …

Hii Ndiyo Anuani Mpya Ya Mtandao Wa Kessy Deo

Habari rafiki, Leo kumekuwa kuna mabadiliko ya makubwa ya mtandao wetu wa kessy deo. Blog tayari imehamishwa kutoka kwenye mtaalamu.net/kessydeo kwenda kwenye http:kessydeo.home.blog. Makala zote zimehamishiwa kule hivyo kuanzia sasa hakuna tena mtaalamu na tutatumia link hii hapa kupata makala au kuingia moja kwa moja. Https://kessydeo.home.blog  Hakuna kitu kilichoharibika rafiki yangu, makala zitaendelea kuwepo kila …

Hiki Ndicho Kitakachotokea Pale Unatakaposhindwa Kumjali Mteja Wako?

Kama umeajiriwa basi unaauza muda na ujuzi wako hivyo kila mtu ana kitu cha kuuza. Na katika kuuza ni lazima pawepo na mteja bila mteja huwezi kuuza. Kila mtu anaishi hapa duniani kwa kuuza kitu fulani. Hakuna mtu ambaye ni hai hana anachouza, haijalishi umeajiriwa au umejiajiri. Kadiri ya Don Peppers, bila mteja huna biashara, …

Usibadilishe Maamuzi Yako, Bali Badilisha Hiki…

Watu wanapokuwa wamekwama, mambo yao hayaendi huwa wanafikiria kitu kimoja tu nacho ni kubadilisha maamuzi. Kubadilisha maamuzi ya kutotaka kuendelea na kile alichokuwa amepanga kufanya. Kwenye mafanikio kama umekutana na changamoto basi usibadilishe maamuzi ya wewe kufika pale ulipotaka kufika. Bali unatakiwa ubadili uelekeo tu. Unatakiwa kubadilisha uelekeo ili kufikia ndoto yako. Kama umekutana na …

Hawa Ndiyo Wahanga Wakubwa Katika Familia

Wanapopigana tembo nyasi huumia kama wasemavyo waswahili. Vivyo hivyo katika familia zetu, panapo tokea changamoto katika familia zetu watu wa kwanza kuumia ni watoto. Watoto ndiyo wanakuwa wahanga wakubwa katika familia zao. Changamoto katika familia kama vile baba na mama kugombana, kutengana ni moja ya adhabu kubwa wanayoipata watoto. Wazazi ndiyo walinzi wa watoto. Hivyo …

Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Hakijawahi Kumuangusha Mtu

Rafiki, Ni kawaida katika jamii yetu watu kuona kama vile kazi ni mateso sana. Watu kufanya au kutimjza wajibu wao wanahisi kama vile ni utumwa na siyo sehemu ya maisha yao. Tukianzia katika kuamka mapema , mtu akiwa bize na kazi zake wako watakaosema fulani anateswa au anajitesa na kazi. Hapa tunajifunza kuwa licha ya …

Njia Rahisi Wanayotumia Watu Kutoroka Matatizo Yao Kwenye Karne Ya Ishirini Na Moja (21)

Mpendwa rafiki yangu, Nilishawahi kuandika kuwa sehemu pekee ambayo watu wanaweza kusahau matatizo yao kwa muda ni kwenye nyumba za ibada. Ukienda nyumba za ibada au ukizama kwenye sala na akili yako yote ikawa pale huna kingine unachowaza zaidi ya ile sala inakusaidia kukuondoa kwenye ulimwengu huu na kukupelekea ulimwengu mwingine kabisa. Ukiingia kwenye nyumba …

Kabla Ya Kulalamika Kwenye Jambo Lolote,Kaa Chini Na Jiulize Swali Hili

Katika jamii yetu ni kawaida sana watu kulalamika. Na siyo tu kulalamika lakini pia wengi wanaona kama vile wameonewa kwenye kile wanachofanya kama wamepata matokeo ndivyo sivyo. Utamaduni wa kulalamika hovyo umeanzia nyumbani mpaka maeneo ya kazi, huwa tunalalamikiana hata muda mwingine tunachokana kwa sababu ya lawama za kijinga. Ila hatuwezi kufika muafaka kwa njia …

Kijue Kitabu Cha Ijue Njaa Ya Wanandoa

Mpendwa rafiki yangu, Hongera sana kwa kazi na juhudi unazoendelea kuweka kuhakikisha unakuwa na maisha bora pamoja na kugusa maisha ya wengine. Rafiki nina zaidi ya miaka mitatu sasa tokea nianze kuandika, kupitia mafundisho haya ninayoendelea kuyatoa yameweza kuwasaidia wengi na kugusa maisha yao kwa namna moja au nyingine. Nimekuwa naandika eneo la mahusiano hivyo …

Design a site like this with WordPress.com
Get started