Kwanini Hakuna Anayekufikiria Kwenye Maisha Yako

Kila mara huwa nakuambia rafiki yangu kuwa hakuna anayekufikiria hivyo kama hakuna anayekufikiria ni bora ukajifiria wewe mwenyewe. Mkurugenzi wa maisha yako ni wewe mwenyewe na wala siyo mtu mwingine. Acha kumfikiria mtu mwingine ndiyo atakuja kubadili maisha yako kama usipojichukulia hatua wewe mwenyewe. Utabaki kama ulivyo kama usipojichukulia hatua. Maisha huwa ni mwalimu mzuri …

Kitu Ambacho Kitachangia Wewe Kujiamini na kujiuza vizuri Kwenye Kile Unachofanya

Rafiki yangu, Kuna vitu ambavyo tukivifanya huwa tunajiongezea ushindi kwenye maisha yetu. Tunaongeza ufanisi na kuonekana watu kujiamini kwa wale waliotuzunguka. Siyo hivyo tu, bali hata kuchangamka na kuwa na hamasa ya kazi. Tunakuwa na nguvu na kujihisi tuko vizuri sana kwenye kile tunachofanya. Kitu Ambacho kinachangia wewe kuweza kuongeza mauzo kwenye kazi au biashara …

Faida Moja Ya Kujisumbua Kwenye Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Katika maisha hakuna kitu chochote kitakachoweza kutokea kama hutoweza Kujisumbua kupata kitu hiko. Vitu vyote ulivyonavyo kwenye maisha yako umejisumbua kuwa navyo. Hakuna kitu kinachotokea katika maisha yetu bila ya sisi kujisukuma kuwa na vitu hivyo. Mambo hayatokei kama ajali bali maamuzi yetu ndiyo yanaamua tubadilike au tubaki kama tulivyo. Faida moja …

Huu Ndiyo Muujiza Mkubwa Kuliko Yote Duniani

Mpendwa rafiki yangu, Tunaalikwa kushukuru kwa kila jambo katika maisha yetu. Kuna miujiza mingi sana inayofanyika kwenye maisha yetu lakini sisi tunaona ni kama haki au mastahili yetu. Falsafa ya kushukuru kwa kila jambo ni pana na watu huwa hatuielewi, tukiwa tunapitia magumu hakuna anayeshukuru bali ni kulalamika kwanini dunia inatufanyia sisi hivi. Tunashukuru kwa …

Umuhimu Wa Kuwa Na Misingi Kwenye Maisha Yako

Rafiki, Mara nyingi huwa ninasisitiza kuwa ni muhimu kila mmoja wetu kuwa na misingi katika maisha yake. Huwa yanatokea mengi, unakutana na vingi na kama hauna misingi ya kusimamia uliyojiwekea utashangaa unapotezwa. Kuna umuhimu wa kila mtu kujiwekea misingi kwenye maisha yake. Kila eneo la maisha yako jiwekee misingi bila kuwa na misingi utakua huna …

Njia Rahisi Ya Kujijengea Misingi Ya Kifalsafa Kwenye Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Iko njia moja rahisi sana ya kujijengea misingi ya kifalsafa. Na leo ndiyo tunakwenda kujifunza njia hiyo. Aliyekuwa mwanafalsafa na mtawala wa Roma Marcus Aurelius aliwahi kusema kuwa kama siyo sahihi usifanye. Na kama siyo kweli usiseme. Sasa kama unataka kuishi misingi ya kifalsafa basi ishi misingi hii. Ukiona kitu chochote siyo …

Huyu Ndiye Mtu Wa Kumheshimu Sana Kwenye Maisha Yako

Rafiki yangu mpendwa, Zama tunazoishi ni zama zinazohitaji fedha. Kila kitu kinahitaji fedha ili kiweze kwenda mbele. Ndoto zako ulizonazo ili ziweke kukamilika zinahitaji fedha. Una ona ni kwa namna gani fedha ilivyo muhimu? Ukiwa na fedha unaweza kupata kile unachotaka kwenye maisha yako. Hivyo basi, baada ya kuona ni kwa namna gani fedha ilivyokuwa …

Hatua Mbili Za Kuchukua Pale Unapoona Kitu Kinakusumbua

Rafiki, Aliyekuwa mtawala wa Roma na mwanafalsafa wa ustoa aliwahi kunukuliwa akisema, Kama inavumilika, basi vumilia. Na kama haivumiliki basi acha kulalamika. Tuje katika maisha yetu ya kawaida, ni mambo gani yanakusumbua? Najua yapo ambayo yanakusumbua je jiulize yanavumilika? Kama jibu lako ni ndiyo basi vumilia. Vipi kama jambo ulilonalo linakukera na halivumiliki? Na lipo …

Neno La Ushindi La Kujiambia Siku Hii Ya Leo

Rafiki, Maisha yanachosha kama hayana ushindi. Kila mmoja ana hitaji ushindi kwenye kile anachofanya. Tunapoteza hamasa ya maisha kwa sababu ya kukosa matumaini kwenye yale tunayofanya. Leo ninakusihi sana uondoke na neno la ushindi ambalo litakupa hamasa ya kuendelea kufanya kile unachofanya. Neno hilo siyo lingine bali ni kujipongeza kwa yale ambayo umeyafanya hapo nyuma. …

Jinsi Watu Wanavyojitia Nuksi Kwenye Maisha Yao

Mpendwa Rafiki yangu, Tumekuwa ni watu tunaojitia nuksi sisi wenyewe katika maisha yetu. Tunajikatisha tamaa sisi wenyewe. Tunatumia midomo yetu kujilaani badala ya kujibariki sisi wenyewe. Adui yetu mkubwa katika maisha yetu ni sisi wenyewe. Je ni kwa namna gani sasa tunajitia nuksi ? Tunajitia nuksi kwa kujiambia kuwa hatuwezi. Usijiambie huwezi kwani maneno yanaumba …

Design a site like this with WordPress.com
Get started