Rafiki yangu, Jinsi maisha yetu yalivyo sisi ndiyo tumekubali yawe jinsi yalivyo. Hakuna mtu wa kubadilisha maisha yetu kuwa vile tunavyotaka kuwa isipokuwa sisi wenyewe. Sisi ndiyo wakurugenzi wa maisha yetu. Hivyo kama kuna kitu tunataka kukibadilisha tunakibadilisha haraka sana. Kama umechoka na maisha unayoishi sasa chukua hatua ya kuyaweka vile unavyotaka wewe. Mambo hayawezi …
Category Archives: Uncategorized
Ili Ufanikiwe Kwenye Kile Unachofanya Unatakiwa Uwe Na Kitu Hiki
Rafiki yangu, Katika mafanikio kuna mambo mengi sana. Mpaka unamuona mtu ana simama ujue amepitia mengi. Kuna maumivu ndani yake ambayo mtu anayavumilia mpaka pale anapopata ushindi. Ili tuweze kufanikiwa kwenye kile tunachofanya lazima tuwe na watu wa namna hii ambao ni; Tuwe na watu ambao wanajali kile tunachofanya. Kama hutoweza kupata watu wanaojali, bidhaa …
Continue reading “Ili Ufanikiwe Kwenye Kile Unachofanya Unatakiwa Uwe Na Kitu Hiki”
Faida Moja Ya Kuhudumia Watu
Mpemdwa rafiki yangu, Wito wetu uko katika kuhudumia watu. Tunapohudumia watu tunapata kutimiza amri kuu ya upendo na kuishi maisha yenye maana. Je ulishawahi kujiuliza upendo wa kweli unapatikana wapi? Upendo wa kweli unapatikana katika kuhudumia watu. Kumbe basi, tunapohudumia watu tunapata upendo wa kweli. Faida ya kuhudumia watu ni upendo wa kweli. Bila kuwahudumia …
Kitu Ambacho Hutakiwi Kukizoea Hata Siku Moja
Kila siku unatakiwa kuwa mpya kwenye kile unachofanya. Haijalishi umefanya kwa muda gani ila hutakiwi kukizoea kile unachofanya. Ona kile unachofanya ni kama siku yako ya kwanza kufanya. Tunapokuwa na hali ya mazoea tunashindwa kufanya makubwa kwa sababu ya mazoea tunayoweka. Ogopa kuwa kawaida kwenye kile unachofanya. Kuwa mtu makini unapofanya kitu kifanye bila kuweka …
Continue reading “Kitu Ambacho Hutakiwi Kukizoea Hata Siku Moja”
Fuata Sheria Elekezi Za Sehemu Hii na Utafanikiwa sana
Huwa tunashindwa katika maisha kwa sababu ya kutotii sheria elekezi za sehemu husika. Maisha ni kama mchezo na kila mchezo huwa unakuwa na sheria elekezi za mchezo husika. Kwa mfano, kwenye mpira wa miguu, ukicheza kwa mikono utapewa adhabu kama wewe siyo goli kipa. Tukija katika biashara ziko sheria na misingi elekezi ya biashara ambazo …
Continue reading “Fuata Sheria Elekezi Za Sehemu Hii na Utafanikiwa sana”
Usivumilie Kama Unaweza Kuchukua Hatua
Rafiki, Kama kuna kitu kina kusumbua na unajua dawa yake ni bora kuitumia hiyo dawa kumaliza tatizo. Usivumilie kitu ambacho unaweza kukibadilisha. Kwa mfano, kama kuna mtu umekaa naye sehemu anavuta sigara na wewe inakukera unatakiwa kumwambia kuwa sigara anayovuta inakukera au kama unashindwa kumwambia hama na nenda sehemu ambayo hakuna sigara. Usivumilie maisha bali …
Huwa Unafanya Kitu Hiki Unapotoka Nyumbani?
Rafiki, Maisha ni furaha na kila siku unapotoka kwenye mlango wa nyumba unayolala unapaswa kuwa na furaha. Na je furaha hiyo unaipataje sasa? Furaha hiyo unaipata kwa njia hizi. Kwanza, chagua kuwa na siku bora na yenye furaha kwako. Jitakie matashi mema kama vile Mimi ni mshindi na nimezaliwa kushinda. Leo ni siku bora na …
Continue reading “Huwa Unafanya Kitu Hiki Unapotoka Nyumbani?”
Hiki Ndiyo Kitu Utakachopata Ukiwa Ni Mtu Wa Kutaka Mambo Yaende Kama Vile Unavyotaka
Rafiki yangu, Tukiwa ni watu wa kutaka kila kitu kiende kama vile tunavyotaka sisi ni kama vile tumejiandaa kushindwa. Kuna wakati hatuwezi kupata matokeo yale tunayotaka. Kuna wakati tunagemea matokeo fulani kutoka kwa watu wetu wa karibu lakini cha kushangaza unakuta mambo yanakwenda tofauti na tulivyotegemea. Kuna wakati tunategemea wale tunaowadai watatulipa lakini mambo yanakwenda …
Usisubiri Mpaka Ifikie Hali Hii
Pale unapoona dalili za mwanzo kabisa za kitu chochote ambacho haziko sawa ndiyo muda wa kuchukua ya kurekebisha kitu hiko. Unapoona tatizo dogo chukua hatua kabla halijawa kubwa. Mtu anaweza akawa anaumwa tumbo hachukui hatua mara moja ya kwenda hospitali kuchunguza nini kinachomsumbua na ataendelea kuvumilia tu. Lakini inapotokea mtu huyo anayeumwa na tumbo ameamka …
Jinsi Ya Kujua Kama Unaziabudu Fedha Zako Au La
Rafiki yangu, Chochote ambacho unakiabudu sana kinakuwa na sauti ya mwisho juu yako. Kuna matokeo mawili utayapata pale unapokuwa mtu wa kuziabudu fedha. Kwanza zitakupelekesha , ukishakiabudu kitu lazima tu kitakusumbua. Na hapo ndiyo unakua mtu wa fedha. Pili, zitataka zifanye ufanye zinachotaka na sio unachotaka. Ukipata fedha zitaanza kukuendesha ufanye kile ambacho fedha inataka …
Continue reading “Jinsi Ya Kujua Kama Unaziabudu Fedha Zako Au La”