Usiende Kubishana Siku Hii Ya Leo

Usiende kupoteza nguvu zako bure katika kubishania mambo ambayo yako nje ya uwezo wako. Kubishana ni kupoteza nguvu na muda wako. Tumia muda wako kufanya kazi ambayo inakupatia kipato na mambo mengine achana nayo. Unapokuta watu wakibishana juu ya mpira, siasa, udaku wewe nenda kafanye kazi inayofanya maisha yaende. Badala ya kubishania mambo ambayo hayakuingizii …

Jinsi Ya Kujitofautisha Na Wafanyabiashara Wengine

Kufanya kile ambacho kila mtu anafanya hapo unakuwa umejijengea mazingira ya kuchukuliwa poa. Kama wote mnafanya biashara moja, na mteja akija kwako na akienda kwa mwingine anapata huduma hiyo hiyo hapo unakuwa bado huna thamani. Ili kujitofautisha na wafanyabiashara wengine unatakiwa kwenda hatua ya ziada. Unatakiwa kufanya kile ambacho watu wengine hawafanyi. Jijengee kutoa huduma …

Kabla Hujapata mtu Sahihi Utapitia Hali Hii

Usiwaonee watu wote waliofanikiwa katika jambo fulani kuwa walifanikiwa kirahisi. Hapana, hakuna aliyefanikiwa kirahisi kwenye jambo lolote hata lile ambalo unaliona wewe ni rahisi. Kwa mfano, kila siku umeshajijengea imani kwamba ukiingia katika mtandao huu wa Kessy Deo lazima utakutana na kitu kipya. Ila mpaka unakuja kuiona makala imekwenda hewani kuna mchakato mkubwa sana umefanyika. …

Hii Ndiyo Tahajudi (meditation) Bora Kabisa

Asubuhi tunapoamka miili yetu inakuwa iko fuli chaji. Kama vile ilivyo simu, inapofika jioni betri zinakuwa zimeisha hii ni kutokana na kutumika kwa simu ndani ya siku nzima. Miili yetu inapokuwa imechoka inahitaji kupumzika na watu huwa wanapoona wamechoka wanakuwa wananunua vitu vya kuchangamsha mwili kama vile vilevi, kinywaji cha eneji cha kuongeza nguvu.Hii inakuwa …

Hiki Ndicho Kinachokufanya Wewe Ukose Kupata Bahati Yako

Kila binadamu ana bahati yake. Na wanasema kuwa, bahati ni pale fursa inapokutana na maandalizi. Kumbe basi, huwezi kuweka mikono mifukoni nakusubiria bahati yako ije bali, unatakiwa upambane kupata bahati yako. Kabla ya kuzaliwa kwetu, tulishabarikiwa na kitendo cha wewe kuzaliwa kibaiolojia wewe ni mshindi na umezaliwa kushinda.Ndiyo maana kila siku nakusihi sana uweze kujinenea …

Unaweza Kuweka Juhudi Lakini Huwezi Kuamua Hiki

Katika maisha unapaswa kujua kuwa kuna mambo ambayo yako ndani ya uwezo wetu na kuna mambo ambayo yako nje ya uwezo wetu.Na hapa ndiyo falsafa ya ustoa inapoingia. Unaweza kuweka juhudi katika maisha yako, unaweza kufanya kila unachoweza lakini huwezi kuamua matokeo gani yatokee. Bahati huwa ina nafasi ya mwisho katika maisha yetu. Tunapaswa kuweka …

Sababu Kuu Moja Kwanini Watu Hawapendi Kuweka Akiba

Kila mmoja wetu anajua umuhimu wa kuweka akiba katika maisha yake. Hakuna mtu anayejua kesho yake itakuwaje. Hakuna anayeamka na kujua leo ataenda kukutana na changamoto gani. Tunakutana na changamoto nyingi sana lakini ukiangalia changamoto zetu kama huna fedha unakuwa unaongeza matatizo zaidi. Na wote tunajua kuwa ukiwa na fedha utaweza kutatua matatizo yako mengi …

Bila Kazi Hakuna Mafanikio

Kila kazi inahitaji kazi. Hakuna kazi bila kazi. Hakuna mafanikio marahisi, kila unayemwona leo yuko vizuri kwenye maisha yake basi alianzia kwenye kazi. Kama unataka mabadiliko unayoyataka nakusihi sana ufanye kazi kuliko maneno. Kazi ndiye rafiki wa kweli kwani kupitia kazi unaweza kupata kile unachotaka kwenye maisha yako. Jitenge na majungu, maneno, umbeya halafu jenga …

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuepuka Kuvunja Ndoa Yako

Hakuna kinachoshindikana katika maisha ya ndoa kama ukiamua kuwa nacho. Maisha ya ndoa yanaweza kuwa mazuri au mabaya kadiri ya mtazamo wako.Ukisema ndoa ni mbaya basi huo ni mtazamo wako na ukisema ni nzuri huo ni mtazamo. Hakuna kitu kibaya wala kizuri bali mitazamo yetu ndiyo yanaumua. Mtazamo wako ndiyo chaguo lako. Ukisikiliza nyimbo zinazokandia …

Matembezi Ni Tiba

Siyo kila wakati utakuwa bora au kuwa na utulivu mzuri wa akili. Hivyo basi, pale unapokuwa una msongo wa mawazo unashauriwa kufanya matembezi. Pale unapokuwa una hasira unashauriwa kufanya matembezi. Ukifanya matembezi ya kutembea tembea zile hasira ulizokuwa nazo zitapotea kama siyo kuyeyuka. Unapoongea na mtu kwa njia ya simu, ongea naye huku ukifanya matembezi. …

Design a site like this with WordPress.com
Get started