Huwa tunafikiri ili tupate fedha zaidi tunapaswa kuwadhulumu watu, kuwaibia, kuwa tapeli, mwizi, kupokea rushwa nk.Msingi wa watu uko hivyo, wanaamini kuwa ili upate fedha zaidi lazima uzichukue kwa wengine. Leo tunakwenda kujifunza msingi wa tofauti kabisa wa kupata fedha zaidi. Kabla hatujaingia kwenye kujua msingi huo nikushirikishe msingi wa kupata chochote kile unachotaka kwenye …
Category Archives: Uncategorized
Haya Ndiyo Madhara Ya Kutokua Na Kipaumbele Kwenye Maisha Yako
Asili ya dunia ina utele, ina kila kitu unachohitaji na kama hujui unachotaka huenda ikawa ni shida kwako dunia kukusaidia. Pale unapokuwa unataka kitu fulani lazima uwe na chaguo unalotaka, ukitaka kujenga nyumba lazima uwe na ramani ya nyumba unayotaka kujenga.Kwa ufupi, chochote kile tunachotaka lazima tuwe tunajua kile tunachotaka. Huwezi kutoa kile ambacho hukijui …
Continue reading “Haya Ndiyo Madhara Ya Kutokua Na Kipaumbele Kwenye Maisha Yako”
Hiki ndiyo Kitu Kidogo Kinacholeta Tofauti Kubwa
Huwa tunapenda kuchukulia poa baadhi ya mambo katika maisha yetu. Ni rahisi kuyachukulia poa mambo madogo lakini haya madogo ndiyo huwa yanatuumiza sana. Kwa mfano, mbu huwa ang’ata na kusababisha madhara ya ugonjwa kama vile malaria lakini tembo ni mkubwa lakini licha ya ukumbwa wake yeye wala hang’ati lakini mbu ni kadogo lakini kana leta …
Continue reading “Hiki ndiyo Kitu Kidogo Kinacholeta Tofauti Kubwa”
Ukishajua Kipato Chako Kipo Hivi, Usithubutu Kufanya Haya
Moja ya misingi ya fedha ambayo unaalikwa kuijua ni kwamba, haijalishi unaingiza kiasi gani, ishi chini ya kipato chako. Lakini, wengi tunakwama hapa hatujui ya kwamba pale mtu unapokuwa una kipato kikubwa, au kipato kinapoongezeka utashangaa na matumizi nayo yanaongezeka sasa usipokuwa makini na hili utajikuta huna unachofanya. Kwa sababu kuna kawaida ya matumizi kuongeza …
Continue reading “Ukishajua Kipato Chako Kipo Hivi, Usithubutu Kufanya Haya”
Huu Ndiyo Mtazamo Utakaokusaidia Kufanya Vitu Kwa Ubora
Ushindi wowote ule huwa unaanzia ndani ya mtu. Jinsi akili yake alivyoiandaa na imani yake juu ya kile anachofanya. Ukiingia kwenye mchezo wowote na hisia za kushindwa na kutowezekana lazima utashindwa. Leo tunakwenda kujifunza mtazamo ambao utakusaidia kufanya vitu kwa ubora. Aliyekuwa mwandishi na mhamasishaji Zig Ziglar aliwahi kunukuliwa akisema, mtazamo chanya utakusaidia kufanya vitu …
Continue reading “Huu Ndiyo Mtazamo Utakaokusaidia Kufanya Vitu Kwa Ubora”
“Sikuachi Mpaka Unibariki”
Ni kauli ya ung’ang’anizi sana ambayo ilimsaidia Yakobo kupata ushindi na kubarikiwa. Yakobo alimwambia malaika sikuachi mpaka unibariki, aling’ang’ana kuhakikisha anapata kile anachotaka na kweli malaika alivyoona Yakobo amekuwa king’ang’anizi akaamua kumuachia baraka. Hata sisi katika maisha yetu huwa hatuwi vinganganizi ndiyo maana hatupati kile tunachotaka. Wengi huishia njiani pale tu wanapokutana na changamoto, usiishie …
Maeneo Mawili Unayoyachukulia Poa Kwenye Maisha Yako
Ni nadra sana kuwaona watu wakiwa wana mlinganyo sawa katika maisha yao. Yaani kila eneo la maisha yake liko vizuri na kila eneo analipa uzito. Liko eneo moja ambalo kila binadamu aliyehai analipa uzito sana na eneo hilo ni mwili. Wengi matendo ya mwili yametukamata kuliko maelezo, miili yetu inatuendesha na ubaya zaidi wengine tunakubali …
Continue reading “Maeneo Mawili Unayoyachukulia Poa Kwenye Maisha Yako”
Jinsi Ya Kuona Faida Ya Kazi
Unaweza ukaichoka kazi na kuichukia kama hutumii vizuri kile unachopata kupitia kazi hiyo. Kama huoni matunda ya kazi unayoifanya na kujivunia ni rahisi kulalamika na kuona kama vile hufanyi kazi bali unafanya mazoezi tu. Ukitaka kuona faida ya kazi, kiasi unachopata yaani kama ni kipato au mshahara hakikisha sehemu ya kipato chako unajifanyia maendeleo yako …
Jilazimishe Kufanya Hata Kama Huna Hiki
Wote tunajua umuhimu wa kazi, hakuna asiyejua umuhimu wa kazi maana kazi inatusaidia kupata kile tunachotaka. Hakuna kazi bila kazi, kazi yoyote ile lazima iwe inachosha lakini hatuwezi kukubali kukaa bila kufanya kile tulichopanga kufanya. Kuna wakati ndiyo mwili haujisiki kabisa kufanya kufanya kitu sasa wewe usiusikilize mwili, jilazimishe kufanya hata kama mwili haujisiki kufanya …
Kitu Hiki Nacho Kinahusika Katika Safari Ya Mafanikio
Huwa tunajiona wajanja kwa mafanikio ambayo tunayo na tunasahau kuwa siyo kila mafanikio makubwa ambayo tunayo huwa ni kwa sababu ya juhudi tu hapana. Kama ingekuwa katika maisha ni kuweka kazi tu na juhudi mbona wengine hawafanikiwi? Inakuwaje wengine mnakua mnafanya kitu sawa lakini wanaofanikiwa ni wachache?Chukulia mfano, wanaochimba madini ni wengi lakini siyo wote …
Continue reading “Kitu Hiki Nacho Kinahusika Katika Safari Ya Mafanikio”