Ubize ni neno ambalo linaongelewa karibu na kila mtu. Ukikutana na mtu utamsikia akisema niko bize aisee. Je, umeshawahi kukaa chini na kuhoji ubize wako? Kila siku uko bize, lini utakua huru? Je, ubize wako ni ubize hasi au chanya? Wengi wako bize je, huo ubize wao matokeo yake yanaonekana? Au ubize jina tu? Ubize …
Category Archives: Uncategorized
Kitu Cha Uhakika Kupata Pale Unapothubutu Kufanya Jambo Lolote Lile
Ni changamoto. Niambie ni jambo gani ambalo utasema ulianze halafu usikutane na changamoto njiani? Kila kitu kina changamoto ndiyo maana huwa nashangaa mtu anayeacha kufanya jambo lake kwa sababu ya changamoto. Ukiingia kwenye biashara kuna changamoto zake na changamoto ni kitu cha uhakika kuliko hata faida. Ukiwa kwenye ajira nako pia kuna changamoto zake. Kifupi …
Continue reading “Kitu Cha Uhakika Kupata Pale Unapothubutu Kufanya Jambo Lolote Lile”
Usichague Kitu Hiki Kwenye Maisha Yako
Usichague kuwa mtu asiyekuwa na thamani. Kuwa mtu wa thamani au kutokuwa mtu wa thamani ni kuchagua. Usichague kuishi maisha ya juu ya kipato chako. Haijalishi una kipato kikubwa au kidogo unatakiwa kuishi chini ya kipato chako. Usichague kuishi bila kuweka akiba. Weka akiba mara nyingi uwezavyo kwani akiba itakuja kukusaidia hapo baadaye na uzuri …
Namna Bora Ya Kurudisha Neno Ulilozungumza
Unapozungumza unapaswa kuwa makini kwa sababu neno unaloongea ni kama vile unarusha jiwe gizani na hujui nani litampata. Ukishaongea, umeaongea na watu watatafsiri vile wanavyojua wao kadiri ya hisia walizokuwa nazo. Kifupi, namna bora ya kurudisha neno ulilozungumza ni kutolisema tu. Kuwa mwangalifu na maneno yako, kumbuka hakuna namna nyingine ya kulirudisha neno ulilozungumza isipokuwa …
Continue reading “Namna Bora Ya Kurudisha Neno Ulilozungumza”
Njia Nzuri Ya Watu Kujua Unauza Nini
Huwa ninashangaa sana pale ambapo mtu anakuwa anamiliki kitu kizuri ambacho ametumia gharama kukitengeneza lakini cha ajabu hana hata mpango wa masoko au mauzo. Unapozalisha kitu ili watu wengine wakipate andaa mpango wa masoko. Unaweza ukawa na bidhaa bora lakini kama watu hawaijui ni sawa na bure. Bidhaa ikishazalishwa ipeleke sokoni. Na wale ambao ni …
Hiki Ndicho Alichowahi Kusema Mwanafalsafa Antisthenes Juu Ya Adui Yako
Antisthenes ni mwanafalsafa wa kigiriki. Mwanafalsafa huyu aliwahi kusema hivi juu ya adui yako. ” Wasikilize maadui wako, kwa sababu ni wa kwanza kugundua makosa yako.” Ni kweli maadui wako huwa wanagundua makosa yako sana kuliko watu wengine. Hivyo fuata ushauri uliopata leo kutoka kwa mwanafalsafa Antisthenes. Hivi hujawahi kujiuliza ni kwa nini Yesu alisema …
Continue reading “Hiki Ndicho Alichowahi Kusema Mwanafalsafa Antisthenes Juu Ya Adui Yako”
Tumia Njia Hii Kujihamasisha Kufanya Makubwa Kwenye Maisha Yako
Njia yenyewe ni kifo. Ukifikiria majukumu uliyonayo, watu wanaokutegemea katika familia yako huku ukifikiria siku yoyote utakufa huwezi kufanya ujinga utajisukuma kufanya makubwa. Aliyekuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Magufuli kila mara katika hotuba zake alikuwa anaongelea kifo. Anasema kama akifikiria siku moja atakufa je akifa leo hii miradi aliyoiacha nani …
Continue reading “Tumia Njia Hii Kujihamasisha Kufanya Makubwa Kwenye Maisha Yako”
Hii Ndiyo Mitego Unayopaswa Kuitega Kama Unataka Kufanikiwa Zaidi
Kama unataka kupata fedha zaidi inakupasa utoe thamani zaidi. Fedha haziwezi kuja tu kwako kama huna mitego ya kuinasa. Mitego mizuri ya kunasa fedha ni kuwa na vitega uchumi vingi. Yaani unakuwa unatoa thamani kupitia vyanzo mbalimbali vya mapato ulivyotega. Tabia mojawapo ya fedha inapenda mtu mbunifu. Usipokuwa mbunifu wa miradi mbalimbali fedha zitakukimbia na …
Continue reading “Hii Ndiyo Mitego Unayopaswa Kuitega Kama Unataka Kufanikiwa Zaidi”
Huu Ndiyo Ukweli Wa Asili
Asili huwa ina upacha kwenye kila kitu. Ndiyo maana tuna asubuhi na jioni. Tuna usiku na mchana. Kwenye zuri kuna baya. Upacha wa kila jambo lolote lile, ni la kwetu na siyo la mtu mwingine. Binadamu huwa tunapenda kufikiri kuwa sisi mazuri ndiyo ya kwetu na mabaya si ya kwetu. Hapana. Mabaya na mazuri ni …
Maswali Mawili Ya Kujiuliza Kila Siku Asubuhi Na Jioni
Hakuna anayeamka asubuhi na kupanga kuwa na siku ya hovyo. Kila mmoja wetu anapenda kuwa na siku bora na ndiyo lengo la kila m Ili uweze kuimiliki siku yako lazima uweke mipango ya kumiliki siku yako. Usipojiandaa kuimiliki siku utakuja kumilikiwa. Usipojiandaa kutawala, utatawaliwa. Usipojiandaa kushinda, utashindwa. Jiandae kupata kile unachotaka na siyo vinginevyo. Hapa …
Continue reading “Maswali Mawili Ya Kujiuliza Kila Siku Asubuhi Na Jioni”