Mpendwa rafiki yangu, Kama bado hujapata kile unachotaka kuna chanzo kimoja ambacho ndiyo ninakwenda kukuelezea hapa kwanini bado hujakipata. Sisi binadamu ni wazuri sana kwenye kupanga lakini kuchukua hatua ndiyo kuna shida kubwa, kama ingekuwa tunakuwa vile tunavyotaka kwa njia ya mdomo tu basi kila mtu angekuwa tajiri kwenye kila eneo analotaka kwenye maisha yake. …
Continue reading “Hiki Ndiyo Chanzo Cha Kutokuwa Na Matokeo Mazuri Kwenye Kila Eneo La Maisha Yako”