Hiki Ndiyo Kinachokufanya Uumie Pale Mtu Anapokutukana

Najua kuna watu ambao wameshakuudhi sana kwa sababu ya kukutusi. Muda mwingine unapata hasira kweli, kwanini fulani anitukane na kupelekea hata ugomvi. Katika falsafa ya ustoa, unatakiwa kujiandaa na yote pale unapoianza siku yako asubuhi. Jiandae kabisa utakutana na watu wakorofi, wadhulimishaji, wabishi, waizi nk na ikitokea kama mtu miongoni mwa hao akikufanyia ubaya, utajiambia …

Kama Unataka Kuona Maisha Yako Ni Bora Fanya Kitu Hiki Kimoja

Rafiki, Kila mtu maisha yake ni bora kuliko ya mwingine kama kila mmoja wetu akiishi maisha yake. Maisha ya kujilinganisha na mwingine ni maisha ambayo hayana maana kuishi. Kujilinganisha na mwingine ni mwizi wa furaha yako. Ukitaka tu kujiona wewe uko tofauti na wengine anza kujilinganisha utatamani kuyakimbia maisha yako. Hakuna anayejilinganisha na mwingine halafu …

Hii Ndiyo Zawadi Bora Unayoweza Kujipatia Mwisho Wa Mwezi Huu

Mwanamafanikio, Katika maisha kuna mambo mawili kwenda mbele na kurudi nyuma. Watu wengi wanafikiria maisha yanakusimama,hapana maisha hayasimami hata siku moja. Kama ukiona huendi mbele basi unarudi nyuma na kiyume chake ni sahihi. Hakuna mtu anayeweza kusema mimi kwa sasa nimesimama kidogo kuishi labda nitaanza mwakani tena kuishi. Maisha hayasimami, pale unaposimama kuishi ndiyo unakuwa …

Mbinu Bora Ya Kuishi Maisha Yako Na Kuwa Na Mafanikio Makubwa

Mpendwa rafiki yangu, Huenda kuna watu tokea wazaliwe hawajawahi kuishi maisha yao. Kuishi maisha yako ni kuishi vile upendavyo wewe na sasa hiyo imekuwa ni changamoto ya watu wengi. Kuna gharama za kuishi maisha yako, hivyo kama unataka kuishi maisha ukubali kuzilipa mapema. Maisha bora ya kuishi maisha yako iwe ni kwenye kazi, biashara na …

Kitu Pekee Unachoweza Kukitawala Siku Hii Ya Leo

Rafiki, Binadamu tumepewa uwezo wa kutawala lakini siyo kila kitu tunaweza kutawala. Kuna vitu vingine ukitaka viende kama vile tunavyotaka wewe basi utakua umechagua kujiumiza wewe mwenyewe. Hutakiwi kupata tabu unachotakiwa ni kujua ni unaweza kutawala ndani ya siku basi, ushindi ni kuweza kutawala kile ambacho unaweza kukitawala. Ndiyo maana hata anayefukuza sungura wawili matokeo …

Njia Tatu Pekee Za Kuepuka Kukosolewa

Kama uko hai basi lazima tu utakosolewa, sehemu ambayo haina usumbufu wa aina yoyote ile ni kaburini pale ambako mwili wako utakapowekwa baada ya safari yako kuisha hapa duniani. Kuna watu wanajiona kama wao hawana bahati bali wana visirani kwenye maisha yao hii ni baada ya kuona kuwa kila wanachofanya hawakosi kukosolewa na kukatishwa tamaa. …

Design a site like this with WordPress.com
Get started