Matatizo Mengi Yanaanzia Hapa

Rafiki yangu, Watu wazuri au wabaya kwenye jambo fulani wanaanzia katika familia.Ni pale wazazi au walezi kushindwa kuwajibika ipasavyo kwenye majukumu yao. Wale ambao tunawaona ni bora sehemu fulani, ubora wao haujaja kama mvua, bali ubora wao uliandaliwa. Kila mzazi au mlezi, anapaswa kuwajibika ipasavyo kwa mtoto/watoto alionao.Mzazi/mlezi unapaswa kufundisha, kukemea na hata kukaripia kwa …

Poteza Ili Upate

Rafiki, Huwezi kupata kile unachotaka, kwa namna unavyokitaka, kwa wakati unaotaka. Kuna wakati utahitaji kupoteza kitu fulani ili kupata kile unachotaka. Lazima uwe tayari kujitoa kwa ajili ya wengine, wakati mwingine ukose au kupoteza vitu kwa ajili ya wengine. Unahitaji kuona umuhimu wa wengine na kujitoa kwa ajili yao, ndiyo uweze kufanikiwa. Kama una kikombe …

Acha Hii Tabia Kuanzia Sasa

Huwa tunaangalia sana upande hasi wa matokeo tunayopata kuliko upande wa chanya wa matokeo mazuri tunayopata.Unaweza kupata matokeo mazuri sana, ukaishia kufurahia tu, lakini siku ukipata matokeo hasi, unakosa shukurani. Tabia ya kulalamika, ni tabia ya umasikini. Hutakiwi kulalamika hata kama mambo hayaendi vizuri, furahia yale mazuri mengi ambayo unaendelea kuyapata. Kulalamika kunafunga milango ya …

Kama Ni Kweli, Badilika

Marcus Aurelius  aliyekuwa mtawala wa Roma na mwanafalsafa wa Ustoa, ana maneno mazuri kwetu kuhusu ukweli. Watu huwa wanafikiri, ukweli unawaumiza watu, lakini kiuhalisia, ukweli haujawahi kumuumiza mtu. Bali, ukweli huwa unamsaidia mtu. Wengi wetu huwa hatupendi kuambiwa ukweli, hasa pale ambapo ukweli unatufanya tuonekane tumekosea au tupo upande tofauti. Lakini Marcus anatuambia kama ukweli …

Kama Unataka Kufika Mbali, Fika Kwanza Hapa

Rafiki yangu nikupendaye, Hakuna kitu ambacho kinatukwamisha kwenye maisha yetu kama ukomo ambao tumejiwekea kwenye kila eneo la maisha yetu. Tumeshajiwekea ukomo kwenye akili zetu kiasi kwamba hata mtu atuambie vipi akili zetu zinakataa. Kama akili yako umeshaiwekea ukomo, hakuna kitakachotokea mpaka pale utakapoifungua. Akili yako inakupa kile ambacho umekiaminisha.Kama unataka kufika mbali, anza kwanza …

Una Hangaika Na Mambo Gani?

Rafiki yangu nikupendaye, Kuna wakati huwa tunajikuta ni watu ambao tunajali sana matatizo ya watu.Tunashindwa kufanya yale tunayopaswa kufanya, nakujikuta ni viranja wa dunia. Wewe ni biashara iliyokamilika, unapata wapi muda wa kuhangaika na mambo ya yasiyo na tija kwako? Pambana na yale ambayo tija kwako. Kama kitu hakikusaidii wewe kupata fedha zaidi, achana nacho. …

Sheria Ya Asili Ambayo Watu Hawapendi Kuisikia

Rafiki yangu nikupendaye, Dunia huwa inatupa vitu, wakati mwingine kwa juhudi ambazo tumeweka na wakati mwingine kwa bahati tu. Bahati kwa mfano kupata fedha kwa njia ya bahati nasibu. Lakini dunia pia huwa inatunyang’anya chochote ambacho hatutajifunza jinsi ya kukipata, hatutajifunza kulipa gharama zake. Jua gharama unayopaswa kulipa kwenye kila kitu na kuwa tayari kuilipa. …

Mbinu Moja Ya Kuimarisha Mahusiano Yako

Rafiki yangu nikupendaye, Mahusiano ni sehemu ya maisha yetu.Elimu nyingi tunazopata kila siku ni jinsi ya kuishi na binadamu katika mahusiano ambayo tupo. Tunayo mahusiano ya ndoa, kazi, biashara na nk. Tunayo kila sababu ya kulinda mahusiano tuliyokuwa nayo. Unaweza kuona mahusiano uliyonayo hayana maana, lakini ukiyapoteza utaumia. Ipo mbinu moja ambayo ukiitumia katika mahusiano …

Mbinu Ya Kupata Ushindi Kwenye Zama Za Mambo Mengi

Rafiki yangu nikupendaye, Mambo uliyokuwa nayo ni mengi, na muda wa kufanya yote hayo hakuna.Na watu wako bize kweli, hata uliongea na mtu, uwepo wake unakuwa haupo pale.Hivyo ni rahisi sana kusahau kile ulichomwambia. Kwa zama hizi watu hawapumziki wala hawafanyi kazi.Hii ina maana kwamba, muda wa kazi watu wafikiria KUPUMZIKA.Muda wa KUPUMZIKA mtu anawaza …

Usishangae Haya Yakitokea

Rafiki yangu nikupendaye, Huwa tunashangaa sana pale tunapoona watu tunaohusiana nao wanapobadilika.Tunaona ni kitu cha ajabu sana wao kubadilika. Kama ulikuwa hujui, asili ya watu ni kubadilika.Mtu uliyekuwa kuwa naye sasa na utakayekutana naye kesho kisaikolojia ni mtu mwingine tena. Ili usijiumize na haya maisha kwa sababu ya watu kubadilika, ishi dhana kwamba yule uliye …

Design a site like this with WordPress.com
Get started