Rafiki, Ulichonacho kinatosha kama ukikitumia vizuri vya kutosha.Mara nyingi wengi huwa hawatumii vizuri vile walivyo. Unachopaswa kujua ni kwamba, ulichonacho kinatosha kama ukikitumia vizuri vya kutosha.Jiulize tu, hivi kile ulichonacho umekitumia vizuri vya kutosha? Una vitu vingi vizuri, lakini hujavitumia vizuri vya kutosha.Kazi yako kubwa ni kutumia vizuri vile ulivyonavyo ili uweze kupata matokeo unayoyataka. …
Inafanya Kazi
Kabla hujasema kitu fulani hakifanyi kazi, kwanza kifanyie kazi. Watu wengi wamekuwa ni waumini wa kurahisisha kitu kwa maneno kabla hata hawajakifanyia kazi kwa vitendo.Kama unasikia watu wengine wakisema kwamba hakifanyi kazi, jaribu na wewe kuthibitisha kwa vitendo. Usikubali kuingia kwenye mkumbo, kwani mkumbo huwa unawapoteza watu wengi. Vitu vingi unavyoviona havifanyi kazi, ni kwa …
Jinsi Ya Kuihudumia Familia Yako Huku Ukiwa Kaburini
Kama una gari, sheria inakutaka kwamba, uwe na bima ya gari.Ni wamiliki wa magari wamekuwa wanafanya hivyo mara zote. Na utaweza kumkuta mtu ana bima ya gari, lakini hana bima yake binafsi. Hakuna anayeijua kesho, hata mtunzi wa kalenda.Unapaswa kuyaandaa maisha yako ili uishi kwa kujiamini bila wasiwasi. Unaweza ukapata changamoto ya ulemavu wa kudumu …
Continue reading "Jinsi Ya Kuihudumia Familia Yako Huku Ukiwa Kaburini"
Ungekuwa Mwenyewe Ungefanya?
Rafiki yangu nikupendaye, Katika suala la matumizi, huwa tunatengeneza tabia kisha, tabia zinatutengeneza.Kinachomaliza fedha zako, ni tabia za matumizi ambazo umezianzisha. Matumizi mengine ambayo tunafanya, mengi tunafanya kwa sababu ya kuiga tu. Tunataka na sisi tuonekane kama wengine. Usipokuwa na udhibiti wa matumaini yako, huwezi kutoboa au kupiga hatua kubwa ya kifedha. Kwa sababu, kinachomaliza …
Fedha Zipo
Rafiki yangu nikupendaye, Kamwe usiseme fedha hakuna, fedha zipo.Fedha hakuna kwako kwa sababu moja tu, huna unachouza au huna thamani unayotoa. Ukijikuta huna fedha, tafuta kitu cha kuuza na utapata fedha.Au wasaidie watu kupata kile wanachotaka na wewe utapata kile unachotaka. Kwa lugha rahisi ni kutoa thamani. Bahari hata siku moja kuwa haishiwi maji kwa …
Usijidogishe
Rafiki, Kuna watu wameshajistahilisha kwamba, wanaweza kufanya kitu fulani au wao ni watu wa kupata daraja fulani. Watu wamejiwekea ukomo kwa kauli hii kwamba, hawawezi kufanya kitu fulani au hawawezi kumiliki kitu fulani kwa sababu uwezo wao ni mdogo. Wamejipa mamlaka ya chini, wamejidogisha kiasi kwamba hawawezi kufanya kitu. Kilichobakia ni kupokea kile kidogo ambacho …
Jifunze
Rafiki, Jifunze namna ya kuandika vizuri, kiasi kwamba mtu akisoma ujumbe wako anaelewa na kuchukua hatua. Jifunze namna ya kuongea vizuri, ongea vizuri kiasi kwamba kile unachoongea kinaeleweka na watu.Usiongee kitu ambacho unakielewa wewe mwenyewe.Chochote kile unachoongea, ongea kwa lugha rahisi kiasi cha kueleweka. Jinsi unavyowasiliana na watu wasiliana nao vizuri. Ujumbe wako unapaswa kunasa …
Acha Mambo Yatokee
Rafiki, Hapa duniani kuna mambo ya aina mbili;Moja ni yale ambayo yako ndani ya uwezo wako. Yaani haya ni yale ambayo unaweza kuyadhibiti. Mbili ni yale ambayo yako nje ya uwezo wako. Haya ni yale mambo ambayo huwezi kuyadhibiti. Usijipe msongo wa mawazo kwa jinsi mambo yanavyotokea.Mambo yanatokea kama yalivyopangwa.Hivyo acha mambo yatokee kama yalivyopangwa …
Angalia Hapa Kama Unataka Kufika Mbali
Siku moja mtu mmoja alikuwa anawaangalia wale watu ambao wanatembea juu ya kamba. Baada ya mchezo kuisha, alienda kumuuliza maswali yule aliyekuwa anatembea juu ya kama na kumuuliza.Unawezaje kutembelea juu ya kamba na kuwa na "balansi"? Akamjibu na kumwambia,Ukitaka kupata balansi ya mchezo, usiangalie pale ulipo, bali angalia kule unakotaka kufika. Hii ina maana gani …
Huwezi Kufanikiwa Kwenye Maisha Kama Unafanya Kazi
Rafiki yangu nikupendaye, Huwezi kufanikiwa kwenye maisha kama unafanya kazi. Watu wanaopenda wanachofanya huwa hawafanyi kazi. Kwa nini huwezi kufanikiwa kwenye maisha kama unafanya kazi? Kwa sababu kazi inachosha, kazi ni mzigo na kila mtu anapenda kukimbia kazi. Utafanikiwa kwenye maisha yako, kama unafanya unachopenda kufanya. Kupenda unachofanya inakuwa siyo kazi tena.Bali kwako inakuwa kama …
Continue reading "Huwezi Kufanikiwa Kwenye Maisha Kama Unafanya Kazi"