Njia Bora Za Kukuletea Matokeo

Rafiki, Ujinga ni kufanya kitu kile kile, kwa mtindo ule ule, huku ukitegemea kupata matokeo ya tofauti. Kama umepanda mahindi, tegemea kuvuna mahindi na siyo vinginevyo.Kwenye maisha, matokeo unayopata sasa ni juhudi ambazo umeweka. Hatua muhimu unayopaswa kuichukua na kukufanya kuwa bora kila siku ni kujifunza kila siku. Jifunze kupitia mafunzo mbalimbali yaliyoandaliwa kuhusu kila …

Misingi Mitatu Ya Kuishi Kila Siku

Rafiki yangu nikupendaye, Chochote kile ambacho hakina msingi ni rahisi kuanguka.Kwenye maisha yako, unapaswa kuwa na misingi ambayo inakuongoza. Kama huna misingi, basi ishi misingi hii hapa ; Nidhamu; kuwa na nidhamu kwako wewe binafsi, kwa kufanya yale uliyopanga kufanya, kuwa na nidhamu ya muda kwa kutokupoteza muda wako kwa mambo yasiyo sahihi. Kuwa na …

Jinsi Ya Kupata Ushindi Wa Siku

Rafiki, Kila mmoja wetu anahitaji ushindi fulani kwenye maisha yake.Ushindi huwa unaleta raha fulani kwenye maisha. Na ushindi hauji bila maandalizi.Na maandalizi yanaanza na mchakato fulani. Ukitaka ushindi, jenga tabia ya kupata ushindi huo. Kwa mfano, ushindi wa siku unapaswa kuanza na kuwa na orodha ya majukumu ya kufanya. Kama huna orodha ya majukumu, ni …

Shida Anayetafsiri

Rafiki, Mtu anayeongea anapaswa kuwa makini na kila neno analotoa kinywani mwake, kwa sababu unapoongea, ni kama unarusha jiwe gizani na hujui nani litampata. Yale unayoongea yanaweza kuwa ya kawaida tu, lakini shida inakuja kwa yule anayetafsiri neno.Atalitafsiri neno kwa namna anavyooelewa yeye.Huwezi kumpangia mtu cha kutafsiri juu ya kile ulichoongea. Unapoongea na kadamnasi pendelea …

Haya Ndiyo Yanayokukuta Kadiri Unavyofanikiwa Zaidi

Rafiki, Iko hivi, kadiri unavyofanikiwa ndivyo unavyodanganywa zaidi. Unajua kwa nini ? Kwa sababu watu wanakuambia kile unachotaka kusikia. Kwa mfano, machawa, watakupa kile unachotaka kusikia. Siyo watu wote watakuwa wema kwako, hivyo kadiri unavyofanikiwa, ndivyo unavyodanganywa zaidi hivyo kuwa makini. Mara zote kuwa na machale, ili usiwe mtu wa kudaganywa kila wakati. MUHIMU;Kama bado …

Mitazamo Chanya 10 Ya Kujaribu

Rafiki yangu nikupendaye, Kuna msemo unasema kwamba, haijaisha mpaka iishe. Kama umejaribu na umeshindwa, usichukulie kama ndiyo mwisho. Kwenye maisha yako, usiweke nukta bali weka alama ya koma.Kuwa na mtazamo wa koma kwamba mambo yatakuwa mazuri na siyo kuwa na mtazamo wa nukta kwamba umefikia mwisho mambo hayawezi kubadilika. Leo ondoka na mambo haya 10 …

Kama Hauko Tayari Kufanya Hiki Bado Hujafanikiwa

Rafiki, Kuna wakati watu wanafananisha mafanikio na uvivu. Kuwa tayari kuwajibika hayo ndiyo mafanikio makubwa kwako.Na kutokuwa tayari kuwajibika hayo siyo mafanikio. Mtu ambaye yuko tayari kuwajibika, hiko ndiyo kipimo cha mafanikio. Mafanikio yanataka mchakato, uweke kazi na siyo kusubiri matokeo mezani. Watu wengi ambao hawataki kuwajibika, wanakuwa na dalili za uvivu na hata kwenye …

Chochote Unachokifanya Kwa Namna Hii Utafanikiwa

Rafiki, Kuna kitu kimoja ambacho kinalipa sana duniani.Na kitu hicho siyo kingine bali ni SHAUKU. Chochote kile unachokifanya kwa shauku lazima utapata mafanikio. Hata kama unafanya maombi ya kiroho,ukiomba kwa shauku lazima utafanikiwa. Mchezaji anayecheza mchezo wake kwa shauku anakuwa anacheza vizuri na kuleta matokeo. Shauku inahitajika kwenye kila eneo la maisha yako.Kwa mfano, kwenye …

Kitu Pekee Ambacho Hupaswi Kukipoteza Kwenye Maisha Yako

Kila mmoja wetu ana ndoto. Na huenda tunatafuta ndoto mbalimbali kwenye maisha yetu. Katika hatua za utafutaji utakutana na changamoto nyingi. Changamoto ambazo ZINAWEZA KUKURUDISHA NYUMA kabisa na kuona huna maana. Kile unachotafuta utakipata, endapo tu , utakaa kwenye mchakato bila kukata tamaa. Mafanikio yako utayapata hapo ulipo.Kila mmoja mafanikio yake yapo kwenye kile anachofanya.Mafanikio …

Kuwa Makini Na Hili Kwenye biashara Yako

Wakati mtu unaanza biashara, inakuwa ndogo na unawahudumia wateja vizuri na kufanya kila kitu. Biashara inapokuwa kubwa, changamoto ndiyo huwa zinaanzia hapo. Unajua kwa nini? Kwa sababu, kadiri unavyokua katika biashara, ndivyo changamoto ya huduma mbovu kuongezeka. Natumaini ulishawahi kuwaona watu mwanzoni walikuwa wanahudumia vizuri tu lakini pale walipojipata, wanaanza kuhudumia kwa mazoea. Unapaswa kuwa …

Design a site like this with WordPress.com
Get started