Hiki Ndio Kitu Rahisi Sana Kukwepa Katika Maisha Yako Lakini Ni Ngumu Kukwepa Matokeo Yake

Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini unaendelea vizuri na karibu tena katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja rafiki yangu. Unatakiwa kuchagua kuanza siku yako kila siku kwa furaha na hamasa kubwa hii ndio dalili ya kupata ushindi katika siku yako husika. Lakini ukichagua kuanza siku yako kwa …

Hiki Ndio Kitabu Kizuri Ambacho Watu Wengi Wanakipenda Na Wanaweza Kukiandika Katika Maisha Yao

Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko buheri wa afya rafiki yangu. Endelea kupambana bila kuchoka mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema utalala na utapumzika sana ukiwa kaburini. Hivyo basi, duniani ni sehemu ya kupambana na siyo ya kupumzika.   Mpendwa Rafiki, karibu tena katika siku hii ya leo ambayo ni siku …

Huu Ndio Uwekezaji Muhimu Unaoweza Kuanza Nao ambao Mtaji Wake Tayari Unao

Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini unaendelea vema rafiki yangu bila kusahau kukua kila siku. Kila siku unatakiwa kuwa bora zaidi ya jana na achana na ile kauli inayosema hivi kila siku ni afadhali ya jana hii kauli ni ya watu wenye mtazamo hasi. Kila siku ni zawadi kutoka kwa …

Ifahamu Falsafa Muhimu Sana Katika Maisha Yako Kutoka Kwa Mwanafalsafa Ralph Waldo Emerson

Habari mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini hujambo rafiki yangu na karibu tena katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja. Mpendwa rafiki usiache kujifunza kila siku na kuishi maisha ya maana. Maisha ya maana ni maisha yeye mchango kwa watu wengine. Kama unaweza kula kila siku hakikisha pia unalisha …

Hii Ndio Maana Halisi Ya Ongea Na Watu Uvae Viatu

Habari Mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Karibu katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja. Kila mtu unayekutana naye ni fursa kwako ambapo unaweza kuchota kitu kipya kutoka kwake. Huwezi kuendelea bila watu katika hii dunia kwani watu ndio rasilimali muhimu sana wanaokuwezesha wewe kutimiza malengo yako. Unapokutana na rafiki …

Hii Ndio Tofauti Kubwa Kabisa Kati Ya Kusikia Na Kusikiliza

Habari mpendwa Rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo ? natumaini unaendelea vizuri rafiki yangu na karibu katika makala yetu ya leo ambapo leo tutajifunza kwa pamoja tofauti kubwa kati ya kusikia na kusikiliza. Dunia ya sasa imejaa kelele nyingi. Na changamoto kubwa ni kupata mtu wa kukusikiliza kwani watu wengi wako bize na …

Hiki Ndio Kitu Wanachoogopa Watu Wengi Zaidi Ya Kifo

Habari mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko salama na karibu tena mpendwa msomaji katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja. Katika makala yetu ya leo tutajifunza kitu ambacho watu wanaogopa kuliko hata kifo. Rafiki, kutaka kujua ni kitu gani ambatana nami mpaka mwisho wa makala hii. Siku zote …

Haya Ndio Makosa Kumi Na Moja (11) Wanayofanya Wazazi Au Walezi Katika Malezi Ya Watoto

Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini unaendelea vema rafiki yangu kukua kimwili,kiakili na kiroho. Hakikisha unakua katika sehemu hizo kuu tatu zitakazokuletea maisha ya furaha na mafanikio. Karibu ndugu msomaji katika makala yetu ya leo ambapo leo tutajifunza makosa wanayofanya wazazi au walezi katika malezi ya watoto. Karibu tuanze pamoja …

Hawa Ndio Watu Adimu Sana Katika Karni Hii Ya Ishirini Na Moja(21) Hapa Duniani

Habari mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko salama rafiki na karibu tena katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwani kila siku ni siku mpya na ni zawadi kutoka kwa Mungu. Kama unaishi maisha kimafanikio na wewe ni mpambanaji huna ruhusa ya kusema kila siku ni afadhali ya jana hayo …

Hizi Ndio Athari Za Kutokuwa Makini Katika Kazi Unazofanya Kila Siku

Habari ya leo Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Karibu rafiki yangu katika makala yetu ya leo ambapo leo tutajifunza athari za kutokuwa makini katika shughuli zetu za kila siku tunazofanya. Kuwekuwa na utamaduni wa watu siku hizi kufanya kazi kimazoea ili mradi tu amalize. Utamaduni wa kulalamika unazaa wavivu wengi hatimaye …

Design a site like this with WordPress.com
Get started