Katika maisha na kazi, kuna malalamiko mengi kama haya:"Nimewaelekeza, lakini hawafanyi.""Nimefundisha mara nyingi, lakini hakuna kinachobadilika.""Wanajua nini cha kufanya, lakini hawaonyeshi matokeo." Hali hii imesababisha wengi kuvunjika moyo, kukata tamaa, au kuamini labda watu hawana uwezo. Lakini hebu tuiweke wazi: kama mtu hafanyi jambo fulani ni kwa sababu mbili tu — ama hajui, au hataki. …
Continue reading "Kwanini Watu Hawafanyi Kile Wanachopaswa Kufanya?"